Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
I wish kwenye hili suala la bandari Jiwe ndie angekuwa kaingia huo mkataba!Wakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Walijaribu mwanzo kumhusisha Magu na uozo huo, Lissu akawaumbua.I wish kwenye hili suala la bandari Jiwe ndie angekuwa kaingia huo mkataba!
Sio huyo Lissu alikuwa anapinga JPM kuchukuwa migodi? sio Lissu alisambaza sumu huko ndege za Tz zishikwe. Wakati JPM anapigana na wale wazungu kuhusu madini sio huyu Lissu alisimama na wazungu kusema mikataba iheshimiwe, sio huyu alisema alikuwa anamtuka JPM kwa kashfa zake na hasa kwenye madini mpaka uvumilivu ukamshinda mzee akaamuwa kumwagia risasi au sio Lissu huyu? sababu zipi alifanya kushambuliwa, anajuwa sababu alikuwa anaunga mkono madini kuchukuliwa nchi hii. Leo hii ndio kawa malaika.Walijaribu mwanzo kumhusisha Magu na uozo huo, Lissu akawaumbua.
Saiz wanasonya tu.
Nonsense😂😂😂Hamna hoja hao porojo tu ukitoa hayo maneno yao makali hamna hoja.
Likiisha watakuja suala la katiba.
Hakuna huo mkataba. Kama upo tuonyesheTuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Hapa ndo nimeamini kuwa wewe huna akili, wewe unavozunguzia urussi unaijua au shobo tuMaaskofu wako hawajui kitu kuhusu bandari mtu wa Mbeya anajua nn kuhusu bahari kama sio shobo.!!
Ameongea kitu cha maana,pia wachukue na ccm waiongozeWakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Hayo Makanisa ndio yalimwachia nchi Kambarage bila ya Tone la Damu kumwagika na baadae wakamtuma Okello huko Unguja!Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
[/QUOTE
Usicho jua wenye hospitali kubwa sana ni makanisa, lakini wanao tibiwa kule ni watanzania wote bila kujali dini ya mtu. Serikali kutoa ruzuku ni namna ya kupunguza gharama za matibabu kwa wagonjwa. Bila ruzuku gharama za matibabu zingekuwa juu sana.
Mtu akitubu anasamehewa,Sio huyo Lissu alikuwa anapinga JPM kuchukuwa migodi? sio Lissu alisambaza sumu huko ndege za Tz zishikwe. Wakati JPM anapigana na wale wazungu kuhusu madini sio huyu Lissu alisimama na wazungu kusema mikataba iheshimiwe, sio huyu alisema alikuwa anamtuka JPM kwa kashfa zake na hasa kwenye madini mpaka uvumilivu ukamshinda mzee akaamuwa kumwagia risasi au sio Lissu huyu? sababu zipi alifanya kushambuliwa, anajuwa sababu alikuwa anaunga mkono madini kuchukuliwa nchi hii. Leo hii ndio kawa malaika.
Hakuna tatizo lakini kwanza akiri jamani mimi nilifanya hivi na hivi nilmkosea JPM lakini mnisamehe basi yameisha. Huwezi kusamehewa kama hujakiri kosa na kuomba msamaha.Mtu akitubu anasamehewa,
Lissu amesema wazi Magu alikuwa MZALENDO.
Hata Sa100 akitubu, Watanzania tutamsanehe,
Tatizo liko wapi?
This is Africa, Kwa ukauzu wa Lisu, kusema kuwa Magu alikuwa MZALENDO,asingesaini mkataba wa aina Ile,Hakuna tatizo lakini kwanza akiri jamani mimi nilifanya hivi na hivi nilmkosea JPM lakini mnisamehe basi yameisha. Huwezi kusamehewa kama hujakiri kosa na kuomba msamaha.
Huu mjadala haukuhusu hatuongelei maparachichi hapa.Tupe somo Mtaalamu. Bandari ni nini?. Na na umebobea kwenye nini haswa. Nini ambacho hakiwezi fanyika pale bandarini baada ya mkataba kurekebishwa.?
Hakuna huo mkataba. Kama upo tuonyeshe
😂Kafie mbele maaskofu ni huko kanisani huo ndo ukweli ,hatuongelei sadaka hapa hamna wanachojua .Hapa ndo nimeamini kuwa wewe huna akili, wewe unavozunguzia urussi unaijua au shobo tu
Na huyu mzee Slaa mbona aliwauza wenzake Chadema kwa JPM akamwaga siri za mikakati yote ya Chadema halafu akapata hisani ubalozi Sweden. Hajawahi kuwaomba msamaha wenzake. Mama Samia kaja kimya kimya akampiga chini mzee mpaka leo linamuuma sana hilo.This is Africa, Kwa ukauzu wa Lisu, kusema kuwa Magu alikuwa MZALENDO,asingesaini mkataba wa aina Ile,
Huko ni kuomba msamaha. Pia tukumbuke, Afrika Tamaduni zetu haziruhusu kiongozi kuomba msamaha Kwa kupiga magoti.
Akinyamaza na kuondoka kikaoni, ndo keshaomba msamaha hivyo!!!!!
Toa ujinga wako hapa ,makanisa ya nyokwe!Hayo Makanisa ndio yalimwachia nchi Kambarage bila ya Tone la Damu kumwagika na baadae wakamtuma Okello huko Unguja!
Sipelekeshi nimeuuliza wewe unajua mambo ya urussi? Shida yako mvaa kobazi unaleta mambo ya madrasa kwenye bandari yaani mkivaa kobazi na kaptula za watoto mnajiona wasaidizi wa allah kulipuana ovyo😂Kafie mbele maaskofu ni huko kanisani huo ndo ukweli ,hatuongelei sadaka hapa hamna wanachojua .
Zaidi wanataka kupitisha mizigo yao bila ya ushuru ,ewe muabudu mpakwa mafuta kuwa na akili hata kidogo kufikria usiwe zuzu kupelekeshwa na wachungaji maana wanawapoteza.
Terms na conditions zipo wapi? Hizo si ni signatures tu? Labda walikuwa wanauziana ardhi? Halafu kuwa na heshima kwa babako.View attachment 2685849
Kipind unasainiwa nafikria ulikuwa upo kiunoni kwa mshua wako.
😂😂Naona usharukia wewe tangu uzaliwe ushawahi kuona bandari? umezaliwa kweny bonde la mpunga huko.Sipelekeshi nimeuuliza wewe unajua mambo ya urussi? Shida yako mvaa kobazi unaleta mambo ya madrasa kwenye bandari yaani mkivaa kobazi na kaptula za watoto mnajiona wasaidizi wa allah kulipuana ovyo