Abdul unaogopa Mama yako kunyang'anywa tonge?Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Sema sasa "T.L.S" ni nini? usitoe kashfa wakati unapewa nafasi ya kujifunza! Vijana wengine wa CCM ni bure kabisa!Kama hujui maana ya T.L.S kichwani umejaza samadi ya binadamu tu
Yaani wewe ndio unipe nafasi ya kujifunza wakati mimi nimeingia mtaa wa chato kabla yako?! May be nikwambie ilianzishwa mwaka 1954? Bado huelewi tu? Nikwambie kwamba nilifanya Bar Exam Arusha, katika majengo ya Mahakama Kuu wakati huo wewe bado unatembea na kidumu na mfagio? Wewe ulihangaika na Law School?! Maana nyie qa shuoe za kata wagumu kuelewaSema sasa "T.L.S" ni nini? usitoe kashfa wakati unapewa nafasi ya kujifunza! Vijana wengine wa CCM ni bure kabisa!
Hivi Mwabakusi ni CHADEMA? Kwanini kila anayeonesha kutetea maslahi ya hii nchi huchukuliwa kama Chadema? Hii inamaanisha vyama vingine vya upinzani haviko kwa maslahi ya watanzania?Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Wanaccm acheni hasira, amewashinda mara mbili ndani ya muda mchache si mchezo, amewashinda mahakamani na amewashinda ndani ya sanduku la kura! Si mchezo.Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Kumbe unazungumzia TLS, sasa hiyo T.L.S ndio mlifunzwa huko Arusha? Bwana mdogo kama unashindwa kuandika chama chako cha ki taaluma kwa usahihi, si bora ustaafu sasa!Yaani wewe ndio unipe nafasi ya kujifunza wakati mimi nimeingia mtaa wa chato kabla yako?! May be nikwambie ilianzishwa mwaka 1954? Bado huelewi tu? Nikwambie kwamba nilifanya Bar Exam Arusha, katika majengo ya Mahakama Kuu wakati huo wewe bado unatembea na kidumu na mfagio? Wewe ulihangaika na Law School?! Maana nyie qa shuoe za kata wagumu kuelewa
Huyo msiwe na wssiwasi nae kabisa, kawekwa makusudi pale kama alivyowekwa lussu.Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
🤣🤣🤣🤒Mbona kama umepata uoga......relax bro
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.
Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa
Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipa
Huu ndo ukweli mchungu ambao wanaharakati na wapenzi wa huyo Mwambukusi hawataki kuuelewa, muda ni mwalimu mzuri. Akienda kimapambano anapokelewa kimapambano akienda kwa akili sawa. Hata Lisu alipita huko ana mbwembwe kuliko huyo bukisi ila hakuna kikubwa alichofanyaNaona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha