Mwabukusi hatafanikiwa kwa lolote lile pale TLS bila kushirikiana na Serikali. Hatakuwa masiha, akiifanya TLS mkono wa CHADEMA, atapata majibu

Hongera sana kwa kuonesha kuwa umeumizwa na ushindi wa Mwabukusi.
TLS sio taasisi ya Tanzania ni taasisi ya Tanganyika yaani kifupi inatetea maslahi ya watanganyika sio watanzania. Tufahamu hilo, TLS kwa kutumiaa sheria na katiba ina kila sababu ya kuhojia chochot ambacho kinahusisha Tanganyika. Ushindi wa Mwabukusi sio ushindii wa mawakili tu bali ni watanganyika wapenda maendeleo. Majukumu ya TLS hayategemeia majukumu ya serikali.​
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Abdul unaogopa Mama yako kunyang'anywa tonge?
 
Sema sasa "T.L.S" ni nini? usitoe kashfa wakati unapewa nafasi ya kujifunza! Vijana wengine wa CCM ni bure kabisa!
Yaani wewe ndio unipe nafasi ya kujifunza wakati mimi nimeingia mtaa wa chato kabla yako?! May be nikwambie ilianzishwa mwaka 1954? Bado huelewi tu? Nikwambie kwamba nilifanya Bar Exam Arusha, katika majengo ya Mahakama Kuu wakati huo wewe bado unatembea na kidumu na mfagio? Wewe ulihangaika na Law School?! Maana nyie qa shuoe za kata wagumu kuelewa
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Hivi Mwabakusi ni CHADEMA? Kwanini kila anayeonesha kutetea maslahi ya hii nchi huchukuliwa kama Chadema? Hii inamaanisha vyama vingine vya upinzani haviko kwa maslahi ya watanzania?
Mtoa mada naomba unithibitishie uwanachama wa Mwabakusi chama cha demokrasia na maendeleo na mahusiano ya TLS. Nijuavyo alikuwa NCCR Mageuzi baadae TLP baadae
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Wanaccm acheni hasira, amewashinda mara mbili ndani ya muda mchache si mchezo, amewashinda mahakamani na amewashinda ndani ya sanduku la kura! Si mchezo.
 
Yaani wewe ndio unipe nafasi ya kujifunza wakati mimi nimeingia mtaa wa chato kabla yako?! May be nikwambie ilianzishwa mwaka 1954? Bado huelewi tu? Nikwambie kwamba nilifanya Bar Exam Arusha, katika majengo ya Mahakama Kuu wakati huo wewe bado unatembea na kidumu na mfagio? Wewe ulihangaika na Law School?! Maana nyie qa shuoe za kata wagumu kuelewa
Kumbe unazungumzia TLS, sasa hiyo T.L.S ndio mlifunzwa huko Arusha? Bwana mdogo kama unashindwa kuandika chama chako cha ki taaluma kwa usahihi, si bora ustaafu sasa!
 
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Huyo msiwe na wssiwasi nae kabisa, kawekwa makusudi pale kama alivyowekwa lussu.
 
Huu ndo
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipa

Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha

Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha.

Ni uamuzi wa serikali kuishirikisha T.L.S katika mambo yake au laa

Na kama akiingia vitani kuisaidia Chadema kwa mgongo wa T.L.S, ajiandae kwa vita takatifu ambayo yeye hana vyombo vya kumpa ushindi, lakini anaopambana nao watakuwa wamejipanga.
Huu ndo ukweli mchungu ambao wanaharakati na wapenzi wa huyo Mwambukusi hawataki kuuelewa, muda ni mwalimu mzuri. Akienda kimapambano anapokelewa kimapambano akienda kwa akili sawa. Hata Lisu alipita huko ana mbwembwe kuliko huyo bukisi ila hakuna kikubwa alichofanya
 
TLS sio political party. Mwabukusi ni Rais wa TLS na sio mtumishi wa umma. TLS inahudumiwa na michango yetu (annual fees) na ada mbalimbali kutoka kwa mawakili. TLS haiwajibiki kwa serikali soma section 4 of TLS Act. Mwabukusi anafanya majukumu yake kulingana na section 4 of the Act. Mwabukusi ana haki ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini hapokei wala hatekelezi maagizo ya chama cha siasa. TLS ni professional body so relax kama mlikuwa na chama kinataka kusimamia TLS basi fungueni NGO ya kisheria muwe mnafachanganya sheria na diasa zenu huko. TLS is a neutral party when it comes to politics coz politics sio sehemu ya kazi za TLS. Learn or Perish.
 
Back
Top Bottom