Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Hongera sana kwa kuonesha kuwa umeumizwa na ushindi wa Mwabukusi.
TLS sio taasisi ya Tanzania ni taasisi ya Tanganyika yaani kifupi inatetea maslahi ya watanganyika sio watanzania. Tufahamu hilo, TLS kwa kutumiaa sheria na katiba ina kila sababu ya kuhojia chochot ambacho kinahusisha Tanganyika. Ushindi wa Mwabukusi sio ushindii wa mawakili tu bali ni watanganyika wapenda maendeleo. Majukumu ya TLS hayategemeia majukumu ya serikali.