Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Wewe unaruhusiwa kumiliki ardhi zenji? Kwann WAo wanaruhusiwa Huku? Alafu wewe unakatazwa kule ilhali ni nchi Moja?

Nani kakatazwa?

Kwani hapa Tanganyika hapana wasomali wanamiliki ardhi? Tumeungana nao? Wale wakomoro pale kariakoo wanaomiliki hoteli, kuna wayamen wana miliki nyumba nyingi sana, mbali wahindi ndio usiseme kabisa... kumiliki ardhi ni hela yako tu, hizo nyengine ni chuki binafsi.

Zanzibar wataliano wanamiliki ardhi kubwa za ufukweni, tena wenyeji kuna maeneo hawaruhusiwi hata kupita, je wameungana nao? Hakuna mtu anaeweza kukuzuia kumiliki ardhi Zanzibar.

Mimi ninae brother wangu kanunua ardhi Zanzibar ambayo aliuziwa na mmakonde na ameshajenga. Pia kuna familia ipo Turiani ni jamaa zangu wanamiliki mashamba Pemba kabisa.
 
Waliokwenda Dubai na kuandika hii mikataba pamoja na wanasheria wa DPW ni wazalendo pengine kutuzidi mimi na wewe tunaojadili humu JF.

Ni suala la uelewa wetu kuwa unapotoshwa kila tunapowasikiliza wanasheria wengi kila siku.
Serikali zinazojitambua kama UK, USA unafikiri zingesaini IGA kama hii?
 
Common sense inakwambia vipengele, masharti yatatuumiza. Mnatetea mkataba huu badala ya kupigania urekebishwe.
Leo masaa manne Hamza Johari ameelezea kifungu kimoja baada ya kingine mpaka vyote kavimaliza, ulikuwepo mahali hapo ili uulize maswali kuliko kuongelea huku pembeni?.
 
Mtoa mada Ni mbumbumbu. Watajwa wamelipwa na Nani?
Serikali? No.
DP W ? No.
Lakini tunajua na wewe unajua kwamba Kuna watu wamepewa vitenge vya wax na mwenzake mzembe wamechukua pesa kutoka DP w.
 
Leo masaa manne Hamza Johari ameelezea kifungu kimoja baada ya kingine mpaka vyote kavimaliza, ulikuwepo mahali hapo ili uulize maswali kuliko kuongelea huku pembeni?.
Mimi nafanya dili na wewe. Masharti, vipengele vyote naweka mimi kuhusu nchi yako, dili yetu⁵. Unaona ni sawa kutetea mkataba huu badala nguvu zako kutumia kuurekebisha.

Issa shivji amesema haki zote, tumewapa DP World. Kazi yetu ni wajibu, kuwaambia fursa, kulinda maslahi ya DP World.
 
Hawa ni watetezi, mashujaaa wa Tanganyika. Tungewapa kazi ya ku- negotiate hii mikataba. Hata Urais wana uchungu na rasilimali zetu.
 
21Hao walevi wabaguzi na watukanaji?
Unawachukilia vibaya. Hata viongozi wa serikali wa sasa ni wabaguzi, angalia teuzi. Pesa, ajira zinavyogawana kuhusu Tanzania bara na Zanzibar. Kuna watu wanatukana kama Wazinbari kuhusu wabara, Jussa, Othman?

Wameondelewa wazalendo wote wakina Kalemani, lukuvi kabudi. Umeme, maji ulikuwa guarantee.

Sasa hivi una watu wazembe wanakwambia mara mvua, mara hivi na vingine. Wapiga dili.

Miaka miwili mtu amechukua wizara umeme, maji ni shida nchi nzima. Ni kweli serikali hii inajali maisha, kazi, kipato cha Watanganyika?
 
Siku zote wanufaika wa haya mambo ya KIPUMBAVU huwa mnachukia sana mtu yeyote kusema ukweli. Mim kama mim najiuliza kwa nin iwe Bandari zote mpaka za maziwa makuu.
Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na Lindi, Ziwa Tanganyika, Ziwa Victoria, Ziwa Nyasa, Ziwa Eyasi zote ziwe chini ya DP WORLD. Hata kama mnaowatawala hawana akili haiwezekani, labda ifikie tu mda vitawaliwe kwa nguvu ya Mkono wa Chuma.
 
Unajiuliza, kwanini ukubali bandari zote, nchi nzima. Sio tu hivyo pia hatuwezi kuendeleza bandari zote zingine Tanzania bila kupata ruhusa ya DP World. Tuna nchi hapa?

Wanaona huu mkataba uko sawa kabisa.Halafu wanautetea kwa nguvu kubwa.
 
Inashangaza sana mkataba unatetewa zaidi na serikali kulio DP World Wagumu kusema kwamba kama serikali tumekosea, tunarekebisha vipengele, vigezo, marsharti ya huu mkataba muhimu uwe sawa.

Wanataka kuua wazalendo, vitisho kwa maisha yao Dr Nshalla, Dr Slaa, Dr Mwakabusi, Pro Issa Shivji.
 
Wamekuzuia nini sasa wewe Pimbi
 
Sheria ya Zanzibar hairuhusu MTU asiye mzanzibar kumiliki ardhi acha upotoshaji
 
Wahi mirembe hospital mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…