Mwabukusi: Mdude asipopatikana tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa hapo kabla

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
 
Kama maneno hayo yangewekwa kwa vitendo angalau mara moja tuu nadhani tungeelewana tuu.
Sasa kila siku porojo tuu mnafikiri CCM watababaika?
 
Maandamano yasiyo na kikomo hadi mdude apatikane au viongozi wa usalama wa raia wawajibishwe au sio?

Hii inaitwa mkoa kwa mkoa, mtaa kwa mtaa
Karibuni, karibuni sana. Kusema tu "Tanganyika" unaelewa ni mijitu mipumbavu iliyojaa chuki kiasi gani mamamamae zao. Karibuni sana!!!
 
Kwa kweli Mtanzania mwenzetu hata akiwa mpinzani tunatakiwa tulinde uhai wake. Ni vema akapatikana akiwa hai.
Ila yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishaji
 
ALICHOKUWA NANKITAFUTA AMESHAKIPATA WACHA WAHANGAIKE NDUGUZAKE MWENEYKITI WA KANDA NYASA SUGU YUPO KIMYAAA HIVI YUPO AU HAYUPO?
 
Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
Bon Mwabukusi ni mzalendo halisi wa taifa letu, amejitoa mhanga maisha yake, tuzidi kumuombea.
 
Back
Top Bottom