Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Kwa jinsi ninavyomuona Mwabukusi, yuko tayari kufa, muueni tu mkamuweke hiyo sehemu salama kama mlivyomuweka Mdude Mpaluke Nyagali, sumu ya nyigu.NDIYO LUGHA ZENU HIZO MNAMTANGULIZA KAMA MDUDE HALAFU AKIHARIBU AKAWEKWA SEHEMU SALAMA MNAANZA FREE MWABUKUSI
Lakini, hata nyie mwisho wenu utafika, hakuna atakayeishi milele.
Askofu Bagonza nae mmeshamtaarifu mnaenda kumuua, ni lini yeye, au bado mnaandaa mazingira?