Mwabukusi: Mdude asipopatikana tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa hapo kabla

Mwabukusi: Mdude asipopatikana tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa hapo kabla

Kama maneno hayo yangewekwa kwa vitendo angalau mara moja tuu nadhani tungeelewana tuu.
Sasa kila siku porojo tuu mnafikiri CCM watababaika?
Na kama vitisho vingelikuwa vinafanya kazi basi Lissu angelikuwa Rais, Mwabukusi Makamu wa Rais na Mdude Waziri Mkuu! Ahahahahaha!!
 
Jamaa Genius sana
Ni moja kati ya vichwa vichache Tanzania vinavyokitambua
Mwabukusi anasimamia ukweli na haki, Na haogopi kusema iliyo kweli
Ameenda mbali zaidi na kuongea kwa kujenga hoja na kwa mtiririko mzuri.
Mkuu, unakaa Iwambi? Mimi nakaa Kalobe, mtaa wa sikiliza.

Twende tukamtafute Mdude Mpaluke Nyagali sumu ya nyigu, ninaweza kusema kwa uhakika kabisa kwamba kwa Mdude wameyatimba, ''THIS IS MBEYA BROTHER!''
 
Mwambugusi ana Bit la hatari ,jamaa anamikwara sana ....ile siku alivyokuwa anahutubia mbele ya SSH nizadhani sio yeye alikuwa mdogo sana ....ila akiwa mbele ya waandishi duuuuh !!!
 
Ukabila at work

USSR
Kama hunamoyo wakupenda watu wa kwenu
Pamoja na mazuri ya Mwabukusi lkn uyu mwamba ni kama ana ukabila Ukabila ivi !!!!

manake km kupotea mbona wapo wengine wamepotea!!!

lkn kwa Mdude anaonekana limemgusa sana anaongea kwa ukalli kama Mwabukusi yuleee wakati wa DP world !!!! Niwatakie weekend njema,
Kama huna utaratibu wa kupenda na kuwahurumia watu wa kwenu ,hilo nitatizo lako binafsi .

#Zamani ilikuwaa mtoto mmoja au watatu wakifaulu kwenye eneo iwe ni kata ,tarafa ,Wilaya au mkoa, hao au huyo mtoto huwa tena siyo mali ya mzazi bali mali ya aidha Wilaya au mkoa na ukimgusa huyo jua uneanzisha ugomvi wa mkoa mzima (kwa jinsi nilivyosimuliwa)

Binafsi nimevutiwa sana na spirit ya Mwamba sana
Kanjunjumele Mwabukusi , Bro shiiikilia hapohapo ,usilegeze .

Isifike mahali uhai wetu ukawa mikononi mwa watu wachache , Bora tufe tumesimama kuliko kuishi huku tumechuchumaa .
 
Chezea Mbeya wewe wakati ule wa Mkwere,wasiojulikana walimtesa na kumfinya yule doctor mnyakyusa,wakamuua akakqtaa kufa.Wazee wa Mbeya wakazungumza na mizimu yao,wakamtumia mkwere vitu vya kumfinya huko chini mpaka akaenda kuvitolea USA.Hawa jamaa hawapendi dharau.
 
Back
Top Bottom