Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Kama maneno hayo yangewekwa kwa vitendo angalau mara moja tuu nadhani tungeelewana tuu.Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
siku nyingi watu walikuwa wanatafuta sababu, wameshaipataKumeanza kuchangamka
Karibuni, karibuni sana. Kusema tu "Tanganyika" unaelewa ni mijitu mipumbavu iliyojaa chuki kiasi gani mamamamae zao. Karibuni sana!!!Maandamano yasiyo na kikomo hadi mdude apatikane au viongozi wa usalama wa raia wawajibishwe au sio?
Hii inaitwa mkoa kwa mkoa, mtaa kwa mtaa
Ila yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishajiKwa kweli Mtanzania mwenzetu hata akiwa mpinzani tunatakiwa tulinde uhai wake. Ni vema akapatikana akiwa hai.
Ni kweli wakati mwingine ukosoaji wake unaweza kuwa sio mzuri sheria zipo ndomana lisu yuko kwenye mikono yasheriaIla yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishaji
Kwa kweli Mtanzania mwenzetu hata akiwa mpinzani tunatakiwa tulinde uhai wake. Ni vema akapatikana akiwa hai.
Ndiyo maana ya uwepo wa Mahakama na magereza!! Acha mawazo finyu DrIla yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishaji
Wewe ndumila kuwili Mdude auwawe Lisu MagerezaNi kweli wakati mwingine ukosoaji wake unaweza kuwa sio mzuri sheria zipo ndomana lisu yuko kwenye mikono yasheria
Hamjazoea kuambiwa ukweli mmezoea kusifiana ndio maana mkiambiwa ukweli mnanuna ukipenda sifa penda nankukosolewa piaIla yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishaji
Tofauti nyetanyahu anapiga kweli hatishiiMkwara wa Netanyahu kwa Hamas
ALICHOKUWA NANKITAFUTA AMESHAKIPATA WACHA WAHANGAIKE NDUGUZAKE MWENEYKITI WA KANDA NYASA SUGU YUPO KIMYAAA HIVI YUPO AU HAYUPO?Ila yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishaji
Bon Mwabukusi ni mzalendo halisi wa taifa letu, amejitoa mhanga maisha yake, tuzidi kumuombea.Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
NDIYO LUGHA ZENU HIZO MNAMTANGULIZA KAMA MDUDE HALAFU AKIHARIBU AKAWEKWA SEHEMU SALAMA MNAANZA FREE MWABUKUSIBon Mwabukusi ni mzalendo halisi wa taifa letu, amejitoa mhanga maisha yake, tuzidi kumuombea.