Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Kwa jinsi ninavyomuona Mwabukusi, yuko tayari kufa, muueni tu mkamuweke hiyo sehemu salama kama mlivyomuweka Mdude Mpaluke Nyagali, sumu ya nyigu.NDIYO LUGHA ZENU HIZO MNAMTANGULIZA KAMA MDUDE HALAFU AKIHARIBU AKAWEKWA SEHEMU SALAMA MNAANZA FREE MWABUKUSI
Seriously??? Mkwara like Huoni Gaza ilivyo FanywaMkwara wa Netanyahu kwa Hamas
Huyo ameingia kwenye kitabu cha mashujaa jasiri, waliokataa kunyamazishwa na watekaji, atakumbukwa milele.ALICHOKUWA NANKITAFUTA AMESHAKIPATA WACHA WAHANGAIKE NDUGUZAKE MWENEYKITI WA KANDA NYASA SUGU YUPO KIMYAAA HIVI YUPO AU HAYUPO?
Kila nikimsikiliza Mwabukusi mwili huwa unanisisimka.kanjunjumele Mwabukusi anasema tunamtaka Mdude akiwa hai
Tena nyumbani kwake
Kama wamemuua basi wamzae,wamkuze wamrudishe kwakeππππ
Jamaa Genius sanaKila nikimsikiliza Mwabukusi mwili huwa unanisisimka.
Ni kiumbe hodari na jasiri asiyeogopa. Mungu na amlipe mema kwa kutetea haki bila uoga.
Huyu kunguru amesahau anataka kurudi korokoroni. Labda asaidiye jeshi la polisi.Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
View attachment 3329683
Kutukana ndiyo ukweli?!!!Hamjazoea kuambiwa ukweli mmezoea kusifiana ndio maana mkiambiwa ukweli mnanuna ukipenda sifa penda nankukosolewa pia
Kwani yeye ndio msemaji wa Tanganyika?Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
View attachment 3329683
Ona kenge hii, Kuna watu wanaubaguzi kama wazenji?Karibuni, karibuni sana. Kusema tu "Tanganyika" unaelewa ni mijitu mipumbavu iliyojaa chuki kiasi gani mamamamae zao. Karibuni sana!!!
UNAJUA NIMECHEKA KWA SAUTI..NDIYO LUGHA ZENU HIZO MNAMTANGULIZA KAMA MDUDE HALAFU AKIHARIBU AKAWEKWA SEHEMU SALAMA MNAANZA FREE MWABUKUSI
Kutukana ndiyo ukweli?!!!
Mwana arts naona unajimwambafy kwenye ardhi ya mola πππ€£kanjunjumele Mwabukusi anasema tunamtaka Mdude akiwa hai
Tena nyumbani kwake
Kama wamemuua basi wamzae,wamkuze wamrudishe kwakeππππ