Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Na kama vitisho vingelikuwa vinafanya kazi basi Lissu angelikuwa Rais, Mwabukusi Makamu wa Rais na Mdude Waziri Mkuu! Ahahahahaha!!Kama maneno hayo yangewekwa kwa vitendo angalau mara moja tuu nadhani tungeelewana tuu.
Sasa kila siku porojo tuu mnafikiri CCM watababaika?
Nchi inakosa heshima, itaoneiana Kuna ongezeko la mashoga.Bwege wewe na Baba yako aliyezaa takataka.
Nikijisifu nalo wewe unapungukiwa nini?
Wengi sana ikiongozwa na shoga yetu mwandamizi ambaye ni weweNchi inakosa heshima, itaoneiana Kuna ongezeko la mashoga.
Mkuu, unakaa Iwambi? Mimi nakaa Kalobe, mtaa wa sikiliza.Jamaa Genius sana
Ni moja kati ya vichwa vichache Tanzania vinavyokitambua
Mwabukusi anasimamia ukweli na haki, Na haogopi kusema iliyo kweli
Ameenda mbali zaidi na kuongea kwa kujenga hoja na kwa mtiririko mzuri.
Dawa ya anayedhalilisha na kutukana wenzie ni kumpeleka mahakamani sio kumteka.Ila yeye hatakiwi kulinda heshima za wenzie, sio? Kuwatukana, kuwadhalilisha na Kila aina ya udhalilishaji
Kama hunamoyo wakupenda watu wa kwenuUkabila at work
USSR
Kama huna utaratibu wa kupenda na kuwahurumia watu wa kwenu ,hilo nitatizo lako binafsi .Pamoja na mazuri ya Mwabukusi lkn uyu mwamba ni kama ana ukabila Ukabila ivi !!!!
manake km kupotea mbona wapo wengine wamepotea!!!
lkn kwa Mdude anaonekana limemgusa sana anaongea kwa ukalli kama Mwabukusi yuleee wakati wa DP world !!!! Niwatakie weekend njema,