Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Kama kweli Chadema wamelalamika kwa nyimbo zao kupigwa nadhani hawajui wafanyalo.Hivi CCM wakipiga nyimbo za Chadema kwenye mikutano yao,Chadema wangelalamika? Maana yake wanakuwa wanaitangaza Chadema badala ya CCM.

Ilikuwa vyema wakathibitisha au wakakanusha. Tuna Jenga nyumba moja istoshe mchele mmoja mapishi mengi.
 
Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."

Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.

"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."

Hii ni dibaji tu:

View attachment 2776199

"Yaani mwanzo wa ngoma .."

Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.

Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:

View attachment 2776201

"Tunajenga nyumba moja."

Aluta continua!
Ujinga mtupu huko Kandete na hao Wanyakyusa ndugu zake wana impact gani kwenye ku influence siasa za nchi. Ameamua kupeleka ujinga kijijini kwake. Kandete hawana barabara inayopitika misimu yote, hawana maji salama halafu unaongelea Bandari?
 
atafanya nini kwa ukaidi wa serikali wakifanya uchaguzi bila katib mpya wala tume huru?

1. Kulikoni ndugu kuwa "an angel of doom" pasipokuwa na sababu zozote? Kwanini kutaka kututisha kwa niaba ya adui yetu?

Jibu langu kwako ni kuwa:

"tutalivuka daraja tutakapokuwa tumefika darajani."

Zingatia kichwa cha mada:

"Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi."

Dhahiri bin shahiri ni "pessimism" yaani "fear of the unknown" utakuwa ndiyo ule "mfupa" uliowalemea wengi.

pessimism-is-an-excuse-for-not-102548-1.jpg

Hamuwezi bado kuwa na furaha sasa kuwa akiliweza mwingine kwa niaba ya taifa ni jambo la kheri la kushiriki japo kwenye kusherehekea sote matunda yakipatikana?

Kulikoni nyie kufikiria mabaya tu? Hamjipi hata nafasi ya kufikiria mema, mafanikio, au ushindi?

Ninyi fikra zenu kwenye kushindwa tu? Looh! Watu wa namna gani nyie?

Na ninakwambia kwa Samia alivyo (dikiteita mkubwa kuwahi kutokea at least) hakuna katiba wala tume huru ya uchaguzi. Atafanya nini kama mwabukusi?

2. Mkuu wewe siyo nabii Tito.

"Kwamba nani au mama Abduli yuko vipi, hiyo inatuhusu nini sisi? Labda kama ungependa tujichagulie adui ndugu?"

Nani asiyejua kuwa mwisho wa matatizo yetu ni Tahrir? Wewe unajua. Chadema inajua. Samia anajua. CCM inajua. Nk, nk.

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

Kulikoni kutoamua kuyamaliza matatizo yetu sasa?

au Slaa (mchumia tumbo la ubalozi, unadhani angelikuwa Sweden angelikuwa na Mwabukusi), au Mdude?

3. Hekima yenu inapatikana wapi?

F7iw4TwXAAAZ6NP.jpeg

August 6, 2023 kulikuwa na uzi huu:

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

"Waswahili wanasema yaliyopita si ndwele ..."

Nyie mmeng'ang'ania chuki tu. Kulikoni kuwa kama "luba?"

Walikuja Lowassa, Sumaye, Nyalandu nk, kwa wakati wao wakaondoka. VIvyo hivyo kina Shilinde, Matambi na wenzao. "No hate no fear." Tatizo liko wapi? Watu watakuja, na wengine watakwenda. Hiyo ni kawaida. Malaika tujawapate wapi?

Hatuwezi kuwa na marafiki wala maadui wa kudumu. Na huo ndio ulio ukweli.

Kuunganisha nguvu na vyama vilivyopo kungelikuwa na msukumo /pressure zaidi kwa CCM kuliko hiki wanchokifanya hawa watatu.... na maria spaces

Mkuu, kwanini mnachofanya ninyi mnadhani ndicho kilicho sahihi? Kwanini ninyi hamchukui hatua kuunganisha nguvu na wengine? Jitihada za kuunganisha nguvu ziko wapi?

1664543999224~2.jpg

"Compromise" ni pande mbili. Hata msumeno hukata ukienda na pia ukirudi.

"Hamtaki suluhu. Kumbe mnataka nini basi ndugu zetu?"

Kwanini kukaza ubongo hivi na kudhania mlio sahihi ni ninyi tu?

Uzi huu ulikuwa na maana kamili:

Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

Kwani nani anataka kupigiwa magoti? Kwanini tusiangalie hoja kwa maslahi mapana ya nchi?

Kwanini kama vipi kutaka kuzitatiza jitihada takatifu hizi za wananchi?

"Tusioneane haya machoni ndugu zangu."

Uzi huu ulikuwa wa Aug 28, 2021:

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

Maudhui yake hata leo yangali yanaishi.

NOTE: WATANZANIA HAKUNA WA KUHIMILI KUPIGWA RISASI AKIWA ANAANDAMANA, SISI NI WAOGA, MIMI NA WEWE NA YULE.....................

4. Wamekufa kina Mahlangu, Biko, nk. Wamekaa jela kina Mandela, Sisulu, nk. Wamekuwapo kina Tutu ndugu. Majina yao tapo yameandikwa kwa wino wa dhahabu Afrika Kusini huko.

HAMAS, Gaza huko hakuna asiyejua nini kinaendelea.

i). "Ni heri kufa ukipigania nchi kuliko kufa kwa Malaria." -- Lwaitama.

ii). "Usitutishe, usitutishe, usitutishe, ..ninarudia usitutishe!" -- Maalim Seif. (RIP)

Angalizo:

"Kuteleza si kuanguka hakuna aliye mkamilifu, mkubwa au wa muhimu zaidi kuliko Taifa. Tulipo ni pema zaidi. Tujikite kwenye maelewano kuliko mafarakano."

Tukumbuke hata misahafu ya dini husema:

Heri wapatanishi, kwa maana hao wataitwa wana wa Mungu.

Cc: Zawadini
 
atafanya nini kwa ukaidi wa serikali wakifanya uchaguzi bila katib mpya wala tume huru? Na ninakwambia kwa Samia alivyo (dikiteita mkubwa kuwahi kutokea at least) hakuna katiba wala tume huru ya uchaguzi. Atafanya nini kama mwabukusi? au Slaa (mchumia tumbo la ubalozi, unadhani angelikuwa Sweden angelikuwa na Mwabukusi), au Mdude?
Kuunganisha nguvu na vyama vilivyopo kungelikuwa na msukumo /pressure zaidi kwa CCM kuliko hiki wanchokifanya hawa watatu.... na maria spaces

NOTE: WATANZANIA HAKUNA WA KUHIMILI KUPIGWA RISASI AKIWA ANAANDAMANA, SISI NI WAOGA, MIMI NA WEWE NA YULE.....................
Kwahiyo mmeona Bora nusu mkate sio!!

Umeongea kama pandikizi ndugu Retired!!
 
atafanya nini kwa ukaidi wa serikali wakifanya uchaguzi bila katib mpya wala tume huru? Na ninakwambia kwa Samia alivyo (dikiteita mkubwa kuwahi kutokea at least) hakuna katiba wala tume huru ya uchaguzi. Atafanya nini kama mwabukusi? au Slaa (mchumia tumbo la ubalozi, unadhani angelikuwa Sweden angelikuwa na Mwabukusi), au Mdude?
Kuunganisha nguvu na vyama vilivyopo kungelikuwa na msukumo /pressure zaidi kwa CCM kuliko hiki wanchokifanya hawa watatu.... na maria spaces

NOTE: WATANZANIA HAKUNA WA KUHIMILI KUPIGWA RISASI AKIWA ANAANDAMANA, SISI NI WAOGA, MIMI NA WEWE NA YULE.....................
U disappointed me Kwa comment hii.

Kumbe wasaliti ni Hawa Hawa wanaojiita WAPINZANI!!
 
Ujinga mtupu huko Kandete na hao Wanyakyusa ndugu zake wana impact gani kwenye ku influence siasa za nchi. Ameamua kupeleka ujinga kijijini kwake. Kandete hawana barabara inayopitika misimu yote, hawana maji salama halafu unaongelea Bandari?

Kumbe anayejenga barabara na kupeleka maji Kandete ni Mwabukusi?

Ninakazia:

Jambo la kheri ni kuwa, vuguvugu la kina Mwabukusi limetuonyesha nani ni nani baina yetu.

Wengine hupenda kuanzia na maneno "without prejudice."

Wengine wakamalizia kwa: "no hate, no fear."

Tukutane Tahrir, mwisho wa reli:

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
 
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!

Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Kazi ipo
 
Mwabukusi hana shida na Chadema hata kidogo yeye anapigania haki ya kukataa bandari kuuzwa, katiba mpya iwepo, ni kosa kumtazama mwabukusi kama Mpinzani wa chadema, na hana uelekeo huo wa kuipinga chadema, hii ni vita ya wananchi wote ikiwemo majeshi na vyombo vya ulinzi, Bandari ni roho na ni uhai ndiomana tupo pamoja sote.

CCM kupitia Rais wao sasa wameumbuka kwa usaliti kwa nchi.
 
Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."

Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.

"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."

Hii ni dibaji tu:

View attachment 2776199

"Yaani mwanzo wa ngoma .."

Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.

Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:

View attachment 2776201

"Tunajenga nyumba moja."

Aluta continua!
Chadema wanapambana na Mwabukusi?

Kuna jambo halipo sawa kwenye hii taarifa ya CHADEMA kwenda polisi.

Je kuna hadidu tusizozifahamu ktk muafaka baina ya Chadema Na Hangaya?
 
The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mshana
Jaribu to revisit your post. Je kuna mahala au clue ambayo inaashiria Mwabukusi kupambana na CHADEMA?
 
Chadema wanapambana na Mwabukusi?

Kuna jambo halipo sawa kwenye hii taarifa ya CHADEMA kwenda polisi.

Je kuna hadidu tusizozifahamu ktk muafaka baina ya Chadema Na Hangaya?
Soma comment za ndugu Retired, utajua Kuna something fishy!!
 
imhotep ufafanuzi wako hapa, ingependeza zaidi:

IMG_20231009_120212.jpg

Ni kweli polisi wamepakaza au tuliteleza tu? Kumbuka sisi ni wamoja na kuteleza si kuanguka.

Tunajenga nyumba moja ni muhimu kuliko vyote.

Cc: Rabbon, Extrovert
 
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!

Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Akili yako unayoiona kubwa imeshindwa kung'amua kwamba Chama sio issue kwenye jambo hili msingi analolipigania Mwabikusi....na unaamini katika uwezo wa Chama kubeba maono makubwa.
 
Akili yako unayoiona kubwa imeshindwa kung'amua kwamba Chama sio issue kwenye jambo hili msingi analolipigania Mwabikusi....na unaamini katika uwezo wa Chama kubeba maono makubwa.

Akikuelewa niko pale ... niko wenzangu tutafurahi kusikika ..
 
Akili yako unayoiona kubwa imeshindwa kung'amua kwamba Chama sio issue kwenye jambo hili msingi analolipigania Mwabikusi....na unaamini katika uwezo wa Chama kubeba maono makubwa.
Yaani anajaribu kutwambia Kwa Mfano,

Wafanyabiashara walipoona mfumo wa ukandanizaji wa Kodi kupitia maafisa wa tra umezidi,

Kwamba wafanyabiashara kariakoo wasingeandamana, wangeanzisha chama Cha siasa!!
 
Back
Top Bottom