Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

Mimi naongoza walio lala kuna siku wataamka wataniukiza,ila wewe mwenzangu unaongoza maiti.Maneno ya Kenyatta akimwambia J.K.Nyerere.
 
Hata kupata uongozi Tanzania ni rahisi sana,ukiweza kuwalie watu timing wachache uongozi unaibuka nao.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
😀
 
Cuf walikua wakiandamana,waliamini katika cuf, chadema watu hawakielewi, hawana imani na wachaga
 
Wanasiasa wenyewe ni Hawa .uda wowote unaambiwa wamenunuliwa mara maridhiano bila hata kuwambieni wameridhiana nini

Kigoma watu wameandamana na kuchoma kituo cha polisi na magari yao kisa Kamchape"

Kila mtu anapigania kinachomhusu kwa asilimia mia.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
WATANZANIA NI MAITI MAITI HAZIWEZI KUONA LILILO JEMA WALA BAYA
 
Alilolisema Mwabukusi ni ukweli mtupu! Watanzania ni watu wasiopenda kutolea jasho wanachokitaka: iwe uhuru, haki, elimu n.k. Kwa mfano kazini = mshahara bila kazi, Vyuoni = ufaulu na vyeti kwa rushwa ya ngono. Biashara kwa dhulma tu, kipato kwa kubet au ushirikina, uchaguzi kwa wizi wa kura.
Wazee wa Dezo🤣 ila muasisi anajulikana, sidhani kama kuna taifa la kibeberu hajakanyaga kutembeza bakuli🤣
 
Watanzani wataandamana kama mifumo yao ya kujipatia kipato itaathiriwa.

Ni wabinafsi sana na hawana hulka ya kujali wengine.

Mtu kama haimhusu basi hajali.
Katika comment zote hii ndio the most precise answer to why watanzania hatuna muamko wa kuandamana. Hilo tu ndilo litatuleta pamoja na kuwa na umoja wa kweli na uthubutu.

Ila kama kuna familia zinakula samaki kuku na nyengine wanalalia mihogo at the same environment sio rahisi watu kujali. Mbaya zaidi dola inatumia nguvu kwa kulipa asali na maziwa kundi dogo ili liwapumbaze halaiki. Imetengenezwa mfumo kuwa maskini amtegemee na kumtukuza aliyenacho na mwenye nacho ni wakala wa wamiliki dola.
 
Mwabukusi kwani aliandamana wakuu?
Mwabukusi Rais wa Tanganyika Law society Hajaandamana alijificha chooni huyo halafu wafadhili na upinzani utasikia ndio wanamwita Mwabukusi Shujaa hata wafadhili wanamwita hivyo akili kichwani mwao hazimo kabisa

Mbowe kweli wa kwenda maandamano peke yake? Akina ole ngurumo sijui nani. Mawakili watetea masai mbona hawajatokea kuunga mkono Mbowe maandamano?

Akina sijui members prominent Wapinzani wa Tanganyika Law Society wajitia wapigania haki na demokrasia sijui akina kituo cha haki za binadamu cha Kijo bisimba nk mawakili ki front front kutetea haki za binadamu na shangazi wa taifa anavyojiita Fatuma karume mbona waliufyata hawakutokea maandamano ya Chadema?

Wafadhili Tanzania take note Tanzania tunajuana kuna matapeli wengi sana proffesinal political thieves wamejaa upinzani wafadhili mind your own pockets
 
Kazi anayofanya Mwabukusi na mapito alimopita na wengine wa TLS wewe unaweza kufanya?? maandamano ya siku moja wakati wao kila siku kazi wanayoifanya ni sawa na maandamano ya siku 100..
Muulize Mbowe na Lisu kama walichofanya maandamano ya jana kutotokea kuanzia Mwabukusi na hao TLS senior members kama waliridhika

Go and ask them for their comments
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Ukweli huu ni mchungu sana..halafu tuna watu wanaosimama na kujiita ' Injini za nchi'.
Ndio maana D.Trump aliziita...Countries
 
Hivi Impact ya kumuua Lissu ama Mbowe unaijua? Unafikiri wale value yao ni sawa na ya kajamba nani tu?

Ndiyo maana kama lengo lingekuwa kuuwa, kulikoni kushughulika na kina kajamba nani?

Si ndiyo maana wanasema ikibidi kula nguruwe chagua aliyenona?
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:

Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga
Kunaukwel ambao wanasiasa akiwemo na nakili hawapendi kuusikia ila ndyo uhalisia haswaaa.... hii nchi inamfumo wa kifkra wa ujamaa na kujitegemea... ila mawazo ya watu ni ya uhuru democracy na aman wakati ambapo kiuhalisia maandamano si jadi ya watz...

Njia pekee kama tunahitaji huko tufike ni kuwa na kutengeneza kizaz cha uthubutu kuanzia nyumbani then shule... la sivyyo hata miaka 50 kuandaman itakuwa ngum sana
 
Muulize Mbowe na Lisu kama walichofanya maandamano ya jana kutotokea kuanzia Mwabukusi na hao TLS senior members kama waliridhika

Go and ask them for their comments
Wameridhika ndio maana hujawasikia wanamlaumu Mwabukusi..ni wewe tu unaona hilo sbb akili umeshikilia mkononi.
 
TUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?
Alafu Mwambukusi, wenzie walijitokeza walikamatwa, yeye alikua chumbani leo, analaumu watu.
 
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.

Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.

Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.

Soma:
Hapo kwenye Simba na Yanga ni ukweli usioumiza kabisa. Ila mambo ya msingi hautoona mtu ana nyanyua mguu wake
 
Back
Top Bottom