Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mimi naongoza walio lala kuna siku wataamka wataniukiza,ila wewe mwenzangu unaongoza maiti.Maneno ya Kenyatta akimwambia J.K.Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Cuf walikua wakiandamana,waliamini katika cuf, chadema watu hawakielewi, hawana imani na wachagaWatanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
WATANZANIA NI MAITI MAITI HAZIWEZI KUONA LILILO JEMA WALA BAYAWatanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Nimezungumzia uwezo wake wa akili tu naona yupo tofauti na Watanganyika wengi.hamna kitu hapo starehe yake asitulazimishe aendelee kupambana na maandamano
Wazee wa Dezo🤣 ila muasisi anajulikana, sidhani kama kuna taifa la kibeberu hajakanyaga kutembeza bakuli🤣Alilolisema Mwabukusi ni ukweli mtupu! Watanzania ni watu wasiopenda kutolea jasho wanachokitaka: iwe uhuru, haki, elimu n.k. Kwa mfano kazini = mshahara bila kazi, Vyuoni = ufaulu na vyeti kwa rushwa ya ngono. Biashara kwa dhulma tu, kipato kwa kubet au ushirikina, uchaguzi kwa wizi wa kura.
Katika comment zote hii ndio the most precise answer to why watanzania hatuna muamko wa kuandamana. Hilo tu ndilo litatuleta pamoja na kuwa na umoja wa kweli na uthubutu.Watanzani wataandamana kama mifumo yao ya kujipatia kipato itaathiriwa.
Ni wabinafsi sana na hawana hulka ya kujali wengine.
Mtu kama haimhusu basi hajali.
Hawana amri ya kuuwa hao isitoshe hatupaswi kuogopa kufa:
View: https://twitter.com/TanzaniaOneJezi/status/1833165375275520496
Ingekuwa wameagizwa kuuwa kina Lissu wangekuwa hai leo?
Mwabukusi Rais wa Tanganyika Law society Hajaandamana alijificha chooni huyo halafu wafadhili na upinzani utasikia ndio wanamwita Mwabukusi Shujaa hata wafadhili wanamwita hivyo akili kichwani mwao hazimo kabisaMwabukusi kwani aliandamana wakuu?
Muulize Mbowe na Lisu kama walichofanya maandamano ya jana kutotokea kuanzia Mwabukusi na hao TLS senior members kama waliridhikaKazi anayofanya Mwabukusi na mapito alimopita na wengine wa TLS wewe unaweza kufanya?? maandamano ya siku moja wakati wao kila siku kazi wanayoifanya ni sawa na maandamano ya siku 100..
Ukweli huu ni mchungu sana..halafu tuna watu wanaosimama na kujiita ' Injini za nchi'.Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Hivi Impact ya kumuua Lissu ama Mbowe unaijua? Unafikiri wale value yao ni sawa na ya kajamba nani tu?
Wewe je!Mwabukusi mwenyewe mbona hatujamuona maandamano ya Chadema
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga kelele ni boom, yaani kama ndege.
Soma:
Kunaukwel ambao wanasiasa akiwemo na nakili hawapendi kuusikia ila ndyo uhalisia haswaaa.... hii nchi inamfumo wa kifkra wa ujamaa na kujitegemea... ila mawazo ya watu ni ya uhuru democracy na aman wakati ambapo kiuhalisia maandamano si jadi ya watz...Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza hatujabadili mfumo wetu wa elimu na sasa hivi tumeubemenda, tumeutikisa zaidi.
Ile free thinking huipati sawasawa ndiyo maana utakuta watoto wa siku hizi Ukimona anapiga
Wameridhika ndio maana hujawasikia wanamlaumu Mwabukusi..ni wewe tu unaona hilo sbb akili umeshikilia mkononi.Muulize Mbowe na Lisu kama walichofanya maandamano ya jana kutotokea kuanzia Mwabukusi na hao TLS senior members kama waliridhika
Go and ask them for their comments
Alafu Mwambukusi, wenzie walijitokeza walikamatwa, yeye alikua chumbani leo, analaumu watu.TUTAANDAMANA HATA UCHI KWASABABU ILE NI RAHAAAA SASA WEWE UTULETEE MAANDAMANO YA KWENDA KUPIGWA VIRUNGU WAPI NA WAPI NANI AENDE KWA MANUFAA YA NANI?
Hapo kwenye Simba na Yanga ni ukweli usioumiza kabisa. Ila mambo ya msingi hautoona mtu ana nyanyua mguu wakeWatanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.