Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.

Short and clear mwenye kubisha aje.

Nimeweka viambata hivi viwasaidie kuondoka na ujinga mliolishwa na hasa wa kifikra,hivi mnashindwa kujiuliza kama binadamu ni mtu aliyeumbwa kwa udongo je hivyo viumbe vingine viliumbwa kwa udongo pia na kama ni ndiyo je kwanini hadi leo hakuna uumbaji wa udongo unaoendelea.

Kiuhakika kwasasa siyo wazungu au warabu wote wana nia ya kuwalisha uongo Waafrika bali kumekuwepo wanaotangaza ukweli na kukuusimamia kwa lengo la kuwaamsha Waafrika kuwa walivyolishwa vyote kuhusu msahafu na biblia ni uongo kwa masilahi ya waarabu na wazungu.

Na mkumbuke kuwa Adam nina la kwanza analopewa MTU wa kwenye biblia na siyo MTU wa kwanza ULIMWENGUNI na ni wa udongo mwekundu(mzungu) siyo mweusi(MWAFRIKA)

Amkeni!!
 
Attachments

  • 2025_03_12_20.08.01.png
    2025_03_12_20.08.01.png
    459 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.31.png
    2025_03_12_20.10.31.png
    482.6 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.55.png
    2025_03_12_20.10.55.png
    442.1 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.14.02.png
    2025_03_12_20.14.02.png
    469.2 KB · Views: 1
Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.

Short and clear mwenye kubisha aje
Kwahiyo wewe chanzo chako ni wapi kwa maana watu huamini chanzo cha koo na asili ya watu wote wa Dunia kilianzia hapo kwa Adam
 
Kwa akili hizi unathibitisha kuwa kweli wewe si binàdamu.
Tatizo umemezeshwa kuwa wewe ni Bin-Adamu na hutaki kuifikirisha akili yako na kuifanyisha kazi ya kujitambua na kujua ASILI yako,usisome andiko na kulitafasiri kwa maana rahisi kulingana na ujinga wako jifikirishe!!
 
Sasa sisi ni akain Bin nani..?? ama ndio Bin-Sokwe
Wewe ni huwezi kuwa hata na ubini wa sokwe sokwe kwani sokwe anajitambua na ana akili kuliko wewe ambaye unashindwa hata kujua maana ya "bin-" ambao ni mzizi wa neno "ubini"

Tafuta maana ya "ubini" ndiyo utatambua kuwa wewe siyo Bin-Adamu,ufikirishe ubongo wako uweze kutoka ulipo na kupiga hatua za ufahamu
 
Tupe majibu tujitambue, acha hadithi sawa
 
Back
Top Bottom