HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.
Short and clear mwenye kubisha aje.
Nimeweka viambata hivi viwasaidie kuondoka na ujinga mliolishwa na hasa wa kifikra,hivi mnashindwa kujiuliza kama binadamu ni mtu aliyeumbwa kwa udongo je hivyo viumbe vingine viliumbwa kwa udongo pia na kama ni ndiyo je kwanini hadi leo hakuna uumbaji wa udongo unaoendelea.
Kiuhakika kwasasa siyo wazungu au warabu wote wana nia ya kuwalisha uongo Waafrika bali kumekuwepo wanaotangaza ukweli na kukuusimamia kwa lengo la kuwaamsha Waafrika kuwa walivyolishwa vyote kuhusu msahafu na biblia ni uongo kwa masilahi ya waarabu na wazungu.
Na mkumbuke kuwa Adam nina la kwanza analopewa MTU wa kwenye biblia na siyo MTU wa kwanza ULIMWENGUNI na ni wa udongo mwekundu(mzungu) siyo mweusi(MWAFRIKA)
Amkeni!!