MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

Hapa namsubiri mwaJ ndiye msiri wangu anithibitishie habari hizi
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu hunikaribishi ndoa au unaogopa ntavujisha mambo ya mke mkubwa!!@mwita maranya

Karibu sana Nivea. Mambo ya mke mkubwa yapi tena wakati unaona ndo huyo anayeolewa rasmi.
 
Last edited by a moderator:
Mi kweli nina gundu humu nishaachana na watano wezangu wanaoana tu

Excellent kama una gundu nakushauri uoge maji ya pilipili. Utakayempata baada ya hapo itakuwa ni historia mpya ya maisha yako na uatasahau yote yaliyopita.
 
Last edited by a moderator:
Hapa namsubiri mwaJ ndiye msiri wangu anithibitishie habari hizi

Kaizer sasahivi msiri wako haruhusiwi kuwasiliana na mtu yeyote bila ridhaa yangu. Sasahivi amefichwa mahali anasuguliwa kwa mchanga wa pwani huku akiogeshwa kwa maziwa ya ng'ombe wa kienyeji yaliyochanganywa na mayai ya mbuni!
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya & mwaJ

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…