MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!


Kila la heri Mura imweito!!
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya mimi nta hakikisha wapishi wanatengeneza supu ya pweza ya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Mie m-mama wa ukweee. Si umeona hapo tayari nina binti anaitwa snowhite? Huyu binti yangu ana umri sawa na binti Maranya aitwae Zion Daughter. So tayari tuna watoto 2. Siku hizi wakurya hawaoi under age.

Hii ni sababu mojawapo ya mimi kukupenda sana na kutotaka kukupoteza kwa gharama yoyote ile babe mwaJ.
#Understanding wa LadyJaydee!
 
Last edited by a moderator:
Msiri wangu Kaizer hizi habari ni za kweli kabisa ila mashosti zangu wameniambia nipunguze kelele ndio maana unaona napita tu kimya kimya.

sawa msiri wangu walau nimepoa moyo......
 
Du mduara huo wanukia, sipati picha mie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…