JIni walilifuga wenyewe kitambo likawageuka ukubwaniMatumizi ya kawaida sana kwa mindset ya kibepari, ila kwa wajamaa, huo ni ufisadi alitakiwa kupelekwa mahakama ya mafisadi pale Ubungo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwaka 1983,Lowassa skiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM,walikwenda UK kwa training,alinunua suti pea 10 kwa mpigo,kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda,Nyerere skiwa Rais,Sokoine akiwa PM walikuwa na viatu pea mbili suti pea nne au tatu.
Masai wa miaka ile auze mifugo anunue suti,?unadhani Sokoine hakuwa na ngombe kwao?hapo shida iko wapi? kumbuka kuwa wamasai wana ng'ombe wengi.na inategemea na hulka ya mtu.mimi hapa nina jirani ana ghorofa.mimi nyumba ya kawaida kabisa.but MUNGU amenijaria kufungua ng'ombe . huyu jirani yangu huwa ananunua nusu ya lita ya maziwa kwangu.sasa kuwa nacheka sana.mimi mwenye kipato cha chini nakunywaga lita nzima ya maziwa ,tajiri anakunywa nusu lita .hahahaha.so staili ya mtu inamtuma kuishi anavyotaka.
Kipindi hicho kumiliki baiskeli tu ilikuwa ni fahari kubwa,kumbuka ni 1983 tulikuwa gizani tunanuka umasikinKwani kwa kipindi hicho ng'ombe walikua hawanunuliwi?
Kwani jozi kumi za suti nishilingi ngapi na inakua kama ndama dume wangapi?
Mbona Sasa watu kibao wanataabika na Kuna watumishi kama wote wanamiliki ma V8,ma rangerover n.k?
Au aliibia serikali akanunua suti?
Mwaka 1983,Lowassa skiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM,walikwenda UK kwa training,alinunua suti pea 10 kwa mpigo,kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda,Nyerere skiwa Rais,Sokoine akiwa PM walikuwa na viatu pea mbili suti pea nne au tatu.
Mmasai akizaliwa, wazazi humpa kundi lake la ngombe, mpaka anafikia utu uzima ni mamia ya ngombe, suti kumi inakutoa udendaMwaka 1983,Lowassa skiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM,walikwenda UK kwa training,alinunua suti pea 10 kwa mpigo,kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda,Nyerere skiwa Rais,Sokoine akiwa PM walikuwa na viatu pea mbili suti pea nne au tatu.
Kama basi unataka kutuaminisha hao CCM waliibiwa na Lowassa na hawakumfanya chochote licha kujua hilo, watakuwa wajinga kweli.Masai wa miaka ile auze mifugo anunue suti,?unadhani Sokoine hakuwa na ngombe kwao?
HahahIT was a call to the system that the guy is corrupt