Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

Kama basi unataka kutuaminisha hao CCM waliibiwa na Lowassa na hawakumfanya chochote licha kujua hilo, watakuwa wajinga kweli.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nitaletà ufisadi wa lowassa hapa ngoja tuzike kwanza,CCM ni wajinga sana walimjua uchafu wake tangu enzi za nyerere,Mkapa alitaka kumtosa mazima sema nini,jamaa lilikuwa na nyota
 
Kama basi unataka kutuaminisha hao CCM waliibiwa na Lowassa na hawakumfanya chochote licha kujua hilo, watakuwa wajinga kweli.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yaani tangu miaka ya mwanzo ya 80 jamaa walikuwa nae na nifisadi lakini hawakumchukulia hatua yoyote na Mwalimu wao Nyerere?Ccm ni viazi kwakweli.Vinginevyo Lowasa alikuwa clean.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
The guy was smart kumkamata na vielelezo ilikuwa ngumu sana ila ushahidi wa kimazingira upo tangu enzi za mwalimu,isitoshe CCM wezi ni wengi utafunga wangapi ,
 
Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au
Umbea mbona humtaji mwenye Richmond ambae Lowassa alimkingia kifua kumsitiri?
 
Hakuna neno hata angenunua Container la nguo au kununua kabisa Duka..., issue ni jinsi alivyozipata hizo pesa kama it was through legal means....

Sababu unaweza kununua Wine za Bei mbaya kumbe pesa umetoa kwenye mfuko wa kijiji wa kuchimba kisima cha maji ya kunywa...

Au unanunua Ferrari wakati barabara za kuingia kwako / kuendeshea ni uchochoro wenye miiba...
 
Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Kwa hio wakashangaa mwenzao anavuta suti 10😄😄,hawa wazee nao walikua na mawazo ya kimasikini sana 😀
 
Hakuna neno hata angenunua Container la nguo au kununua kabisa Duka..., issue ni jinsi alivyozipata hizo pesa kama it was through legal means....

Sababu unaweza kununua Wine za Bei mbaya kumbe pesa umetoa kwenye mfuko wa kijiji wa kuchimba kisima cha maji ya kunywa...
Kumbuka ni mwaka 1983 hata ungekuwa na hela vipi aibu ingekushika,hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana ndugu zangu
 
K
Hakuna neno hata angenunua Container la nguo au kununua kabisa Duka..., issue ni jinsi alivyozipata hizo pesa kama it was through legal means....

Sababu unaweza kununua Wine za Bei mbaya kumbe pesa umetoa kwenye mfuko wa kijiji wa kuchimba kisima cha maji ya kunywa...

Au unanunua Ferrari wakati barabara za kuingia kwako / kuendeshea ni uchochoro wenye miiba...
Kwa hio mpk kununua suti akina Nyerere walikua wanashangaa pesa katoa wapi?😀😀
Ndio maana Taifa bado ni masikini mpk leo, Viongozi walikua wanashangaa suti enzi hizo,mawazo ya kimasikini sana
 
Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
1983 Lowassa alikuwa Chuoni Uingereza
 
Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.

Ukiwa na suti 10 unapata faida gani? Leo wakwapi wote?
 
Kumbuka ni mwaka 1983 hata ungekuwa na hela vipi aibu ingekushika,hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana ndugu zangu
Kama pesa ni zako hata ukiamua kuzitumia kwa kuzifuja au kufanya chochote roho inapenda binafsi sina shida na wewe (ulizitafuta na ni zako) ila kama umezipata through questionable means na ni za jamii hata ukitumia senti moja zaidi wewe ni kibaka in my book....

La kwanza wewe ni honest hata kama haujali au una roho mbaya ( ni haki yako kuwa mchoyo) la pili wewe ni mfujaji kibaka mdokozi (ni kwamba tusipoangalia unaweza ukatuuza) na hii ni mbaya zaidi kwa kiongozi
 
Jidanganye tu ila hao matajiri wote wametokana na uwizi ndani ya CCM ...Kulikuwa na haja gani kuingia kweny siasa zaidi ya kujipatia pesa za dili hata biashara inataka connection.

Wamasai wanafuga ngo'mbe kwa leisure na prestige mpaka miaka ya 2000's hawakuwa matajiri wala zaidi jamii nyingi zilikuwa primitive ,labda wale waliokuwa na tender za kusambaza mazima na ng'ombe...Jamii za wamasai waliisha maisha ya level moja hakuna maskini wala tajiri

Wanasiasa wote wamejipatia easy money kupitia siasa hakuna aliyeingia kwa utajiri ni uongo mkubwa wajinga ndio wanakubali.
 
Umeongea ukweli mkuu andiko langu lina maana ya ulichokiandika
 
K

Kwa hio mpk kununua suti akina Nyerere walikua wanashangaa pesa katoa wapi?😀😀
Ndio maana Taifa bado ni masikini mpk leo, Viongozi walikua wanashangaa suti enzi hizo,mawazo ya kimasikini sana
Unajua kipindi hicho hizo suti ni kiasi gani ? Mimi sijui lakini wewe unayeshangaa ninakushangaa ?

Tatizo halijawahi kabisa kuwa mtu anamiliki nini ila mtu anayeishi beyond his/her means on taxpayers account... ; Sasa wewe kuona kwamba Suti ni Suti tu...., na ukizingatia majority ya wanaokuzunguka wamevaa vilaka nadhani ujanja wewe kama kiongozi ni kuhakikisha wanapata hata kaptula kabla ya kuongeza Pierre Cardin nyingine (kwako wewe kufanya hivyo ni dalili za kuwa vain).... Ingawa kama pesa ni zako haipaswi upangiwe matumizi
 
K

Kwa hio mpk kununua suti akina Nyerere walikua wanashangaa pesa katoa wapi?😀😀
Ndio maana Taifa bado ni masikini mpk leo, Viongozi walikua wanashangaa suti enzi hizo,mawazo ya kimasikini sana
Muulize mzee wako miaka hiyo hali ilikuwaje,sabuni tu ilikuwa anasa
 
Back
Top Bottom