Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

Karma Kwa ustawi wa jamii,mtu akifariki mseme Kwa mema yake km ana makosa mola ndio anastahili kujua hukumu yake.
Zingatia ni Kwa ustawi wa jamii and kumsaidia safari yake iwe ya kheri huko aendako
 
Nyerere alikua na mawazo ya kimasikini, akafa masikini na akaacha nchi masikini. Ukiwa na baba haamini katika financial growth mtaishi kwa taabu sana na ubaya atapandikiza ideology zake za kilofa kwenu watoto.
Vicious circle of poverty.
 
hapo shida iko wapi? kumbuka kuwa wamasai wana ng'ombe wengi.na inategemea na hulka ya mtu.mimi hapa nina jirani ana ghorofa.mimi nyumba ya kawaida kabisa.but MUNGU amenijaria kufungua ng'ombe . huyu jirani yangu huwa ananunua nusu ya lita ya maziwa kwangu.sasa kuwa nacheka sana.mimi mwenye kipato cha chini nakunywaga lita nzima ya maziwa ,tajiri anakunywa nusu lita .hahahaha.so staili ya mtu inamtuma kuishi anavyotaka.
Jirani nakuheshimu sana ujue maziwa ni kwaajir ya mtoto

Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
 
Masai wa miaka ile auze mifugo anunue suti,?unadhani Sokoine hakuwa na ngombe kwao?
Mkuu kuna watu wana hoja za kindezi sana hahahaaaa.. Huyo jamaa alikuwa very rich na ndiyo sababu ya Nyerere kusema hafai kuwa rais.
 
Nyerere hakumtandika bakora?

Maana nasikia enzi hizo ilikuwa Illigal mtu kuwa Tajiri kwa uzito uleule kihalali au kiharamu.​
Alimkata jina lake kwenye kugombea urais. Akakasirika kweli kweli, akaenda kumueleza mzee Warioba. Warioba baada ya kumsikiliza akamshauri akamuone Nyerere mwenyewe, na jamaa alivyokuwa courageous akaenda kumuona Nyerere [emoji23] [emoji23]
 
Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Tuliokuwepo miaka hiyo mtanielewa,wale wadogo zangu hamuwezi kuelewa,maisha ya 1973 yalikuwa mazuri kwa wananchi kuliko ya 1983,tulivaa midabwada ,viraka,mtu mzima matako nje....,sigara,sabuni ,sukari,ungekamatwa navyo ni jela miezi sita
Poleni
 
Alimkata jina lake kwenye kugombea urais. Akakasirika kweli kweli, akaenda kumueleza mzee Warioba. Warioba baada ya kumsikiliza akamshauri akamuone Nyerere mwenyewe, na jamaa alivyokuwa courageous akaenda kumuona Nyerere [emoji23] [emoji23]
Mwaka 1995 alikodi ndege kuzunguka nchi nzima kusaka wadhamini,nyerere akaona huyu dogo hatari
 
K

Kwa hio mpk kununua suti akina Nyerere walikua wanashangaa pesa katoa wapi?[emoji3][emoji3]
Ndio maana Taifa bado ni masikini mpk leo, Viongozi walikua wanashangaa suti enzi hizo,mawazo ya kimasikini sana
Hivi unafahamu kwamba miaka hiyo watu walikuwa wanavaa makatambuga (viatu vya matairi) tena mijini? Vijijini watu walikuwa wanavaa mpaka magunia au sandarusi? Unga watu walikuwa wanakula unga wa Yanga uliokuwa umeletwa kwa msaada kutoka Marekani. Vijana wa kizazi kipya hamuwezi kuelewa haya kwa sababu hata kusoma historia hampendi.
 
Mleta mada naye ni miongoni mwao watu wanaowaza maendeleo ya Tanzania, at the same time yuko busy kuhesabu nguo za watu.
Kama ulikuwepo 1983 utaelewa kuwa na suti 10 katikati ya watu waliovaa matambara,sio kwamba nyerere na sokoine hawakuwa na hela za kununua suti
 
Hivi unafahamu kwamba miaka hiyo watu walikuwa wanavaa makatambuga (viatu vya matairi) tena mijini? Vijijini watu walikuwa wanavaa mpaka magunia au sandarusi? Unga watu walikuwa wanakula unga wa Yanga uliokuwa umeletwa kwa msaada kutoka Marekani. Vijana wa kizazi kipya hamuwezi kuelewa haya kwa sababu hata kusoma historia hampendi.
Vijana wakivaa tshirt na jeans hawajui baba zao tulivvaa kaniki,hata sabuni kuipata ni anasa,
 
Kwa hiyo hizo suti alizonunua kwa hela ya wizi??
Ngoja tuzike kwanza nikuletee umafia wa huyu mzee,hata kama ingekuwani kwa hela zake hiyo miaka hata Rais aliona aibu kuvaa nguo za gharama huku wananchi wamevaa lubega za kaniki,kama ulikuwepo utakuwa unanielewa
 
Hivi unafahamu kwamba miaka hiyo watu walikuwa wanavaa makatambuga (viatu vya matairi) tena mijini? Vijijini watu walikuwa wanavaa mpaka magunia au sandarusi? Unga watu walikuwa wanakula unga wa Yanga uliokuwa umeletwa kwa msaada kutoka Marekani. Vijana wa kizazi kipya hamuwezi kuelewa haya kwa sababu hata kusoma historia hampendi.
Kwa hio walipoenda Uingereza Nyerere na Sokoine walikua wamevaa makatambula na sandarusi?mpk wamshangae mwenzao kununua suti liwe jambo kubwa mpk kufikiria ni fisadi?
Nyerere nae kachangia kuturudisha nyuma tu,mawazo ya kimasikini hayo
 
Back
Top Bottom