kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Masai ana miliki Ng'ombe zaidi ya 100 unauliza kapata wapi hela ya kununua suti?Aisee kwa mawazo yako kweli no wonder walamba asali wanazidi kupeta kwa kuchota kodi za wananchi na bado wanasifiwa kama wafalme.......
Pili kwa uelewa wako ni rahisi sana kulishwa matango pori kwamba umasikini wako ni uvivu wako na sio sera mbovu za viongozi wako..... NARUDIA NILICHOSEMA IN ITALICS....
Tatizo halijawahi kabisa kuwa mtu anamiliki nini ila mtu anayeishi beyond his/her means on taxpayers account... ; Sasa wewe kuona kwamba Suti ni Suti tu...., na ukizingatia majority ya wanaokuzunguka wamevaa viraka nadhani ujanja wewe kama kiongozi ni kuhakikisha wanapata hata kaptula kabla ya kuongeza Pierre Cardin nyingine (kwako wewe kufanya hivyo ni dalili za kuwa vain).... Ingawa kama pesa ni zako haipaswi upangiwe matumizi
Unajua maisha ya majority ya watanzania kwa wakati huo yalikuwaje ? Na unajua kwamba hapo kina Nyerere, Lowassa na viongozi wote walikuwa ni watumishi wa mwananchi ? Na je huyo mwananchi alikuwa anamaisha gani.... Kumbuka mwananchi huyu alikuwa anakumbwa na maadui watatu (mmojawapo akiwa umasikini) kwahio nguvu zote ilikuwa ni kuelekeza kwa huyu asivae viraka (kumbuka hata sasa hivi kama kungekuwa hakuna mitumba majority wangevaa viraka) Kitaa mifukoni kipato hakijabadilika ni Productivity Duniani as a whole imeongezeka na Junks zote zinatupwa Africa at throw away prices....
Hujui ukiona Nyama inaliwa sehemu kuna mfugaji kaingiza pesa
Hao walikua na chuki zao zisizo za Msingi