Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sema hizo imani za kimaskini ndiyo zimetufikisha hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa,watoto waliozaliwa juzi juzi hawajui kabisa miaka hiyo ya 1980 nchi ilikuwa ina hali ganiKumbuka ni mwaka 1983 hata ungekuwa na hela vipi aibu ingekushika,hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana ndugu zangu
Sasa Lowassa alimuibia nani enzi zile kila mtu Hadi Nyerere na Sokoine wako hoi bin taaban?Kipindi hicho kumiliki baiskeli tu ilikuwa ni fahari kubwa,kumbuka ni 1983 tulikuwa gizani tunanuka umasikin
Swali au sentensi tata. Lakini naweza sema A leader is a benchmark by which other people (Citizens) may be judged.Kwani nyerere na sokoine ndio muongozo wa namna gani watu wanatakiwa kuishi
Kwa hio Nyerere alikua Rais alikua anavaa viraka?mpk ashangae suti?Unajua kipindi hicho hizo suti ni kiasi gani ? Mimi sijui lakini wewe unayeshangaa ninakushangaa ?
Tatizo halijawahi kabisa kuwa mtu anamiliki nini ila mtu anayeishi beyond his/her means on taxpayers account... ; Sasa wewe kuona kwamba Suti ni Suti tu...., na ukizingatia majority ya wanaokuzunguka wamevaa vilaka nadhani ujanja wewe kama kiongozi ni kuhakikisha wanapata hata kaptula kabla ya kuongeza Pierre Cardin nyingine (kwako wewe kufanya hivyo ni dalili za kuwa vain).... Ingawa kama pesa ni zako haipaswi upangiwe matumizi
Aisee kwa mawazo yako kweli no wonder walamba asali wanazidi kupeta kwa kuchota kodi za wananchi na bado wanasifiwa kama wafalme.......Kwa hio Nyerere alikua Rais alikua anavaa viraka?mpk ashangae suti?
Mawazo ya kijinga na kimasikini sana hayo
Acha zako bhnaa Mzee ngoyayo alikuwa Civil servants akiwa Ofisi ya mkuu wa wilayaRich wapi kazaliwa familia fukara kama mimi na wewe
Hii ni kweli kwa 100%Kwani nyerere na sokoine ndio muongozo wa namna gani watu wanatakiwa kuishi
Unao uhakika baba yake hakumpa pesa za matumizi! Nyerere hskuwa na baba wa kumpa pesa, mimi wakati nasoma huko mikoani miaka ya sitini kuna baadhi ya wanafunzi wenzetu walikuwa wanapanda ndege kwenda na kurudi likizo, walimu wanapanda mabasi.Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Tuliokuwepo miaka hiyo mtanielewa,wale wadogo zangu hamuwezi kuelewa,maisha ya 1973 yalikuwa mazuri kwa wananchi kuliko ya 1983,tulivaa midabwada ,viraka,mtu mzima matako nje....,sigara,sabuni ,sukari,ungekamatwa navyo ni jela miezi sita
Sokoine naye alikua Masai, na alikua na Ng'ombe.hapo shida iko wapi? kumbuka kuwa wamasai wana ng'ombe wengi.na inategemea na hulka ya mtu.mimi hapa nina jirani ana ghorofa.mimi nyumba ya kawaida kabisa.but MUNGU amenijaria kufungua ng'ombe . huyu jirani yangu huwa ananunua nusu ya lita ya maziwa kwangu.sasa kuwa nacheka sana.mimi mwenye kipato cha chini nakunywaga lita nzima ya maziwa ,tajiri anakunywa nusu lita .hahahaha.so staili ya mtu inamtuma kuishi anavyotaka.
Huu ni umbea pro max. Nani alikuwa na kazi ya kuhesabu nguo za watu??Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Tuliokuwepo miaka hiyo mtanielewa,wale wadogo zangu hamuwezi kuelewa,maisha ya 1973 yalikuwa mazuri kwa wananchi kuliko ya 1983,tulivaa midabwada ,viraka,mtu mzima matako nje....,sigara,sabuni ,sukari,ungekamatwa navyo ni jela miezi sita
Akili za kijinga; mtu kuwa na mavazi ya kutosha na kujipenda, kuwa mtanashati ni kuwa corrupt?IT was a call to the system that the guy is corrupt
Yaani umbea umbea tuUnataka kutuaminisha kuwa kuna mtu alikwenda nyumbani kwa Nyerere na Sokoine kuhesabu suti zao halafu akatangaza kwa umma?
Kwanza mwaka 1983 Lowassa alikuwa Nje anachukua Master of Science in Developmental Study Chuo kikuu cha Bath U.kHuu ni umbea pro max. Nani alikuwa na kazi ya kuhesabu nguo za watu??