Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

Nawaheshimu malegen ila hyo kiingilio Cha laki siyo Kweli kbsa labda buku 1000 enzi hzo ndio equal to laki mnk mwaka 1990 ada yangu mm Ni 430 na mzee wangu Ni mhandisi wa manispal lkn Hali ilukuwa tete Bado narud omu kwa kukoza ada Sasa hyo laki Ni watz wangapi wangepata

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wahandisi wa manispaa mpaka leo kukiwa na show mcity ya 500k wengi hawawezi lipia 😃
 
Halafu Kuna wanao humu utakuta wanakutukana Baba yao,kitoto Cha 2000's kila tukana [emoji3][emoji3]...........

Humu mbona wanatutukana sana , ujue kuanzia kibaha hadi kariakoo ilikua njia ya vumbi na mnatembea karibu masaa matatu, mnatoka kibaha saa kumi au kumi na moja, kariakoo mnaingia saa mbili au tatu kasoro, na gari iliondoka saa nane mchana ni moja tu ikikuacha ndio basi tena, hapo kwenye carrier mnabeba mazao au bidhaa unaenda kuuza mjini, leyland basi unazifahamu? Au chai maharage?
 
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi mujarab
Uzi wako umenikubusha mbalii sana leo ,in fact , umenipa majonzi mengi pia !! nimekumbuka na jamaa zangu wengi marehemu na tulikuwa tuna hang nao kwenye hayo maeneo kwa shida na raha ,very unfortuate pengine wangekuwa hai leo ningepata mawili matatu pia kutokana na wanachokumbuka ,najiona mwenye bahati sana kupata previlage ya kukumbuka vitu vya miaka 35 plus nyuma , nikiwa timamu na afya tele , wengi wa umri huu hawajapata this kind of luxury,
 
Kabisa mkuu hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu,miaka 35 ni umri wa mtu mzima huo
 
Humu mbona wanatutukana sana , ujue kuanzia kibaha hadi kariakoo ilikua njia ya vumbi na mnatembea karibu masaa matatu, mnatoka kibaha saa kumi au kumi na moja, kariakoo mnaingia saa mbili au tatu kasoro, na gari iliondoka saa nane mchana ni moja tu ikikuacha ndio basi tena, hapo kwenye carrier mnabeba mazao au bidhaa unaenda kuuza mjini, leyland basi unazifahamu? Au chai maharage?
Heshima kwako mhenga
 
Umenishangaza kwa sababu kama unapajua element na kufuru ya matumizi ya pesa pale , unaanzaje kufananisha matumizi ya starehe na mishahara ya wahandisi?
Kwa enzi hzo Ni uongo kusema laki ndio kiingilio kumuona Kanda bonga man wakt wew mwenyewe hukuingia kwenye show Zaid tu kusimuliwa na waongo waliodanganya kuwa kiingilio Ni laki moja HV by the time kingilion Ni laki moja Bei ya bati moja ilikuwa shilingi Mia 900 Sasa unavyokuja kudanganya umma Hapa siyo sahih mzee show yenyeww hukuingia Wala kufika eneo la tukio acha uongo mzee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mi town nimezaliwa , sikuja , sioni sababu ya kukuongopea chochote , infact haina maana yoyote kuongopa ,
Story nazokupa na flow naturaly with best memories maana sijachezea kichwa changu na kilevi aina yoyote .hadi umri huu.
Sasa wew uliingia kwenye show au ulizimuliwa na watu walio kwenda kucungulia kwenye mbao za bar ile kipindi hcho

I assure you hyo siyo Bei ya kiingilio by the time nyie mnlidanganywa mno na mabishoo wa wakt ule laki by then Ni miashara ya walimu takriban 20

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hili la kanda bongoman kupiga kwa 100,000tsh kiingilio,ukumbi aliopiga sio pale Kilimanjaro Hotel?au Nina mic something hapa?
Jamaaa wamesema eti Ni luguruni ndio alikwenda kufanyia show [emoji2][emoji2][emoji2] by the huko s vichaka vya fisi mtu aache kupiga show Kilimanjaro hotel eti akwende vichakani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom