IfNot WhyNot
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 144
- 257
Chai hii.
Chai how?? Wakati ni kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai hii.
Si kweli mkuu kandabongoman hakufukuzwa na Moi Wala haikuwa kuvunja ndoaHata kanda bongoman Enzi za Mzee Mwinyi alikuja uwanja wa Taifa na kiingilio ilikuwa laki moja ...
Hapo alikuwa kashafukuzwa Kenya Kwa kuvunja ndoa za watu....alifukuzwa na Rais Moi...
Those were the golden days
Mzee aseme ukweli asichanganye na show ya Michael Jackson mwak 90 ++ ilikuwa Bei kubwa
I'll laki kwa yvone chakachak Ni uongo mkubwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Michael Jackson hakuwahi kufanya show yoyote Daslam, we hiyo bei kubwa kwa show ya michael jackon umeitoa wap?Mzee aseme ukweli asichanganye na show ya Michael Jackson mwak 90 ++ ilikuwa Bei kubwa
I'll laki kwa yvone chakachak Ni uongo mkubwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Siku Kanda Bongo man alipopiga Nairobi (sijui ilikuwa Kasarani vile), ndoa 80 zilivunjika, na Moi alichukua hatua ya kumpiga marufuku Kanda Bongoman kukanyaga Nairobi.Si kweli mkuu kandabongoman hakufukuzwa na Moi Wala haikuwa kuvunja ndoa
Hakuna kudumucho chini ya jua. Niliwahi kuutembelea kipindi unaelekea mautiniImepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,
Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,
Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!
[emoji28][emoji28][emoji28]Haya sasa kumekucha
Heshima kwako mkuu kama kwa kipindi hiko tayari ulikua kijana mkubwa na msomi.mdukuzi Sikuwahi kujua kama Ukumbi wa Makondeko Club ulikuwa nje ya Jiji kiasi hicho.
Asante kwa kutujuza Mkuu, hakika umenikumbusha longtime kipindi, by the time nilikuwa F5 pale Tosa-Iringa.
Alipiga pale Kilimanjaro, Simba Grill. Mmiliki wa Mahepe ndo alimleta nchini kupitia Roy West import and Export ikiwa na makao yake pale Mansfield (uhamiaji zamani).Hili la kanda bongoman kupiga kwa 100,000tsh kiingilio,ukumbi aliopiga sio pale Kilimanjaro Hotel?au Nina mic something hapa?
Hili ni somo tukosoane bila kuvznjiane heshima ,hata mi nimejisikia fahari kuwa huo nwaka kuna msomi mmoja alikuwa anafuatilia hizi mambo na leo tunakutana Jf kujadiliana enzi zetuHeshima kwako mkuu kama kwa kipindi hiko tayari ulikua kijana mkubwa na msomi.
Alipiga uwanja wa Taifa , laprima club Makondeko na kilimanjaro kama sikosei kote kiingilio kilikuwa 100000, na tickets sold outHili la kanda bongoman kupiga kwa 100,000tsh kiingilio,ukumbi aliopiga sio pale Kilimanjaro Hotel?au Nina mic something hapa?
Salute mkuu una kumbukumbu,uko sahihiAlipiga uwanja wa Taifa , laprima club Makondeko na kilimanjaro kama sikosei kote kiingilio kilikuwa 100000, na tickets sold out
Kukikuwa na maneno kwamba promoter aliyemleta alibaki na madeni pamoja na kiingilio kuwa kibubwa , Kanda bongoman alikuwa very expensive .
Picha au video ikowapi?Imepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,
Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,
Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!
Safi sana. Nenda kamtafute na mwanadada Sona Jobarteh hakika utazidi kufurahia.huwa napenda nyimbo zenye tamaduni za kiafrika mf nyimbo ya Salif-Keita africa ina midundo mizuri sana
Uko sahihi mkuu nimemshangaa kuandika eti Michael Jackson alipiga show,kichwa chake ameshakichanganya na vitu haramu anapoteza kumbukumbuLegend
hata mie nilikuwa nashangaa hiyo show Michel jackson alipiga wapi. Nakumbuka kulikuwa na uvumi kuwa aliposhuka airport alifunika pua yake kuashiria kuwa Dar inanuka na akaishia sinza kwa watoto yatima.
Huyu jamaa ni muongo yet amekuwa akiwashutumu wenzake kuwa ndio waongo.