Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Pale shule ya sekondari Pugu vyoo vya namna hiyo viliitwa battle mtu akitaka kwenda chooni anasema anakwenda battleMkuu, inaonekana hicho choo ni noma sana. Vp vijana hawakukipa jina la masihara?
Siku hizi hawaiti kufaulu,ni kuchaguliwa.Juzi kuna. Denti nimeonana nae ni mtoto wa jirani yangu nikamuuliza kuhusu matokeo akanijibu wamefauli darasa zima kasoro mmoja nikasema kazi ipo
Dah umenikumbusha ile vita mwana,IDD amini alitishia atalipua bugando hosp, enzi hizo tunaishi mwanza ujue mwanza bugando ndo ilikuwa gorofa pekee.Bila ile vita bila shaka tungekuwa mbali sana zaidi ya hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa mzembe sana chief, au ndo ulikuwa mtoto wa mama sana
SureUzi wa wasomi huu.
Hii ni shule ya jeshi?Lugalo Iringa
hahahaaaaaNa sisi wa 2004; tumeona tusijiweke mbali,
jangwani na zanaki si ungeenda kusoma ww boss..!Nime mention based on my gender na lile vibes wakati tunasoma .😂😂😂😂Jangwani na Zanaki,kisutu na Forodhani hazikua Secondary?,naanza kupata wasiwasi na wewe
Mkuu umenikumbusha Pondi aiseePale shule ya sekondari Pugu vyoo vya namna hiyo viliitwa battle mtu akitaka kwenda chooni anasema anakwenda battle
Nasubiri picha ya shule yangu Ndanda boys ingawa mimi sikumaliza 1999 kurudi nyuma!!
[emoji23][emoji23], hivi kumbe hizi mambo zipo shule nyingi, nakumbuka kipindi nasoma kuna choo kimoja ulikuwa ukiingia unatundika nguo juu ya mti, vinginevyo ni hatari. Baada ya kupata huduma zinapitiliza kwenye povu[emoji23].
Ndio mimi ni mmoja wao. Kati ya wanafunzi 90 tuliomaliza shule ya msingi Magereza Moshi tulichaguliwa wawili (2) tuu kwenda Form I Mawenzi Secondary School.
Najivunia sana elimu ya wakati ule kwani sijabebana na lundo la vitabu wala kuchoshwa na Tuition; walimu walijuma na kutupa NOTES na majaribio yaliyotuwezesha kuwa mahiri.
Elimu ya sasa hivi mtoto wa CLASS II anaandikia vitabu zaidi ya nane, daftari la Class work na Homework anakuwa na mzigo uliozidi umri wake; sijui hawa walimu huwa wanaokotwa wapi maana badala ya kuwapa watoto notes na homework, watoto wanatumia vitabu kama ndio notes.
HapanaHii ni shule ya jeshi?
SawaHapana
Mkuu, ndani ya Sumbawanga mjini kulikuwa na shule za secondary kama zipi?Nakumbuka Sumbawanga mjini, mwaka 2001 kurudi nyuma, ikifika Desemba kabla ya Christmas majina ya waliopangiwa kwenda kidato cha kwanza, manispaa nzima yanabandikwa kwenye ubao wa matangazo wa soko kuu. Shule yangu tulikuwa 100 darsani, tuliotoboa tulikuwa 13 tu kwenda form one boarding nje ya Sumbawanga na wengine day ndani ya Sumbawanga mjini.
Mazwi secondary,kizwite secondary,rukwa secondary na kantalambaMkuu, ndani ya Sumbawanga mjini kulikuwa na shule za secondary kama zipi?