SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 881
- 1,720
daa! kwl mm bado chalii sana sijui ww mkuu ulikuwa age ganKwahiyo mzee Lowasa anajiuzuru wewe ndo unaacha ziwa!
daa! kwl mm bado chalii sana sijui ww mkuu ulikuwa age ganKwahiyo mzee Lowasa anajiuzuru wewe ndo unaacha ziwa!
Dogo hujambow! 😎.2006 nilikuwa la nne
Kuna siku nilienda kwa rafiki yangu nikakuta anagombezwa vibaya kumbe katungisha mimba hapo tuko kidato cha pili. Kuanzia hapo nikaanza kuhisiwa nafuatiliwa mwenendo wangu na majirani hasa wamama na nikawa nawaita wanoko 😂2006 natungisha mimba nikiwa dogo kabisa halafu sielewi elewi imekuaje , 😅
🤔2006 natungisha mimba nikiwa dogo kabisa halafu sielewi elewi imekuaje , 😅
Ilikuwa memkwa mkuuDogo hujambow! 😎.
🤣🤣Kuna siku nilienda kwa rafiki yangu nikakuta anagombezwa vibaya kumbe katungisha mimba hapo tuko kidato cha pili. Kuanzia hapo nikaanza kuhisiwa nafuatiliwa mwenendo wangu na majirani hasa wamama na nikawa nawaita wanoko 😂
2006 natungisha mimba nikiwa dogo kabisa halafu sielewi elewi imekuaje ,
Vip bwashee
Usiogope kusema ukweli wako maana mimi siyo wale wazee wanaotembeza bakora wasiposalimiwa 😂.Ilikuwa memkwa mkuu
Ulikuwa huamini kama ungetungisha mimba?Vip bwashee
Look my face i can kill you.Ndo mwaka bao la baba linatoka tumboni mwa mama likiwa ni mimi.
Look my face i can kill you.Ndo mwaka bao la baba linatoka tumboni mwa mama likiwa ni mimi.
Look my face i can kill you.Ndo mwaka bao la baba linatoka tumboni mwa mama likiwa ni mimi.
Agape Television alikuwa anasambasa upendo kwa kurusha mechi za Uefa. Arsenal mlikua moto haswa Thierry Henry kwenye peakMwaka 2006 ulikuwa jau kwangu kwenye boli..
Arsenal tunapoteza fainali ya uefa championsleague, ufaransa anapoteza fainali ya world cup
Ile arsenal sijui kama itatokea hivi karibuni, ilikuwa imekamilika saanaAgape Television alikuwa anasambasa upendo kwa kurusha mechi za Uefa. Arsenal mlikua moto haswa Thierry Henry kwenye peak
Nakumbuka Agape TV walikuwa wanarusha kipindi cha watoto kinaitwa 'Bible Man'. Nakumbuka kukiangalia. Mama alikuwa anamfuatilia sana Mch. Vernon Fernandes.Agape Television alikuwa anasambasa upendo kwa kurusha mechi za Uefa. Arsenal mlikua moto haswa Thierry Henry kwenye peak
Sitajibu hili swaliUlikuwa huamini kama ungetungisha mimba?
Kila la heri.Sitajibu hili swali