Mwaka 2006 ni kama juzi tu ila ndio miaka 20 sasa, muda unakimbia kweli kweli

Hahaha........Mimi ni wale Wazee wastaarabu

Hata wakati wa kuvuta Kiko zetu, tunajificha ili kutowalevya wasiotumia 🤗

Happy New Year 🥂
Uzee na ustaarabu ni ndugu, ukiwa mzee alafu hauna ustaarabu n hasara.

Happy new year babu mzee wa kiko sijui ulienda kujificha wapi ni muda mrefu sijakuona jukwaani, karibu tena.
 
Umesema sahihi Mkuu, unajua kwa umri wetu huu tusipokuwa wastaarabu ni kujitafutia kupigwa na Vijana

Manake vijana wenyewe hawa watumiaji wa cha Malawi na Arusha, Ngumi Mkononi 🤪

Kwa muda mrefu kiasi nilikuwa nimefichwa, mwezi December niliongeza mke wa 5 kwahiyo nilikuwa Honeymoon 🤪
 
Na jinsi vijana ni hovyo kupiga sio shida yao

Hongera na kila la heri kupata watoto watakaokuita babu mkuu.
 
Kulikuwa na msemo "Kunguru mwoga huepusha mbawa zake"

Faida za kuwa Mwanaume, unaweza kuzalisha hata ukiwa na miaka 80

Muhimu upate binti dogo wa miaka 18 - 25yrs hivi 🤪
 
Back
Top Bottom