Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
2006 juzi kati tu hapa
Nilikuwa sijaanza hata chekecheaMwaka 2006 nilikuwa form 1
Kipindi hiko bange hauijuiPia 2006 ndo JF ilianzishwa kama sikosei...
ChaiDah nlkua hata sjazaliwa
Ndo maana una utoto bwana mdogoNilikuwa sijaanza hata chekechea
Hakuna utoto wowote mnashindwa hoja tuNdo maana una utoto bwana mdogo
JamiiForums inaasisiwaMwaka 2006 ni kama juzi tu wakuu. Ila ndio miaka 20 imepita,haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea 2006 na sasa yana miaka 20.
Juma Akukweti akiwa Waziri anafariki baada ya kuanguka na ndege huko Mbeya baada ya kuwasagia kunguni wafanyabiashara ndogondogo.
Ubungo mataa kunapigwa tukio la ujambazi baada ya majambazi kujaribu kuiba pesa kwenye magari ya NMB. Lilikuwa tukio la aina yake, namkumbuka namna Kamanda Tibaigana alivyokuwa anatupa updates.
Kwenye uga wa michezo, mwanasoka bora Zinedine Zidane anampiga kichwa Marco Materazzi katika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2006. Tukio hilo linachukuliwa kama kumbukumbu ya michuano hiyo.
View attachment 3527169
Alafu unakaa unamtukana Mshana humu. Mtoto mdogo kabisa wewe.Kumbe tupo wengi humu...
Kina mzee Grahams haoUsiogope kusema ukweli wako maana mimi siyo wale wazee wanaotembeza bakora wasiposalimiwa 😂.
Yeah.Kina mzee Grahams hao
Duu!2006 nilikuwa na miaka 2
Saa hz nipo namshikia mama koroboi asonge ugali kipindi hiko hatuna umeme nipo kwetu kijijini nikiitegea vyema sikio KBC Taifa sauti ni ya mkenyaYeah.