Mwaka 2006 ni kama juzi tu ila ndio miaka 20 sasa, muda unakimbia kweli kweli

2006 natungisha mimba nikiwa dogo kabisa halafu sielewi elewi imekuaje , 😅
Kuna siku nilienda kwa rafiki yangu nikakuta anagombezwa vibaya kumbe katungisha mimba hapo tuko kidato cha pili. Kuanzia hapo nikaanza kuhisiwa nafuatiliwa mwenendo wangu na majirani hasa wamama na nikawa nawaita wanoko 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…