Mwaka 2006 ni kama juzi tu ila ndio miaka 20 sasa, muda unakimbia kweli kweli

Saa hz nipo namshikia mama koroboi asonge ugali kipindi hiko hatuna umeme nipo kwetu kijijini nikiitegea vyema sikio KBC Taifa sauti ni ya mkenya
Pasta Pius Mwiru akiwa anaunguruma vyema kwenye spika za radio yako ya mkulima πŸ˜‚. Huku wimbo wa Oooh lulu ukimsindikiza pasta wetu mwenye sauti ya zege.
 
Sio kichwa zidane alimpigwa mbichwaaa yule mchezaji mwehu..
 
Mwaka 2006:

Wema Sepetu anashinda taji la miss Tanzania, sasa hivi kashakuwa msimbe na mshangazi Jokate aliyemaliza nafasi ya juu katika mashindano hayo

Moshi William (TX William) wa kundi la Msondo Ngoma anakufa

Sadam Hussein anahukumiwa kifo

Twitter (X) yaanzishwa rasmi

Pluto inaondolewa kwenye orodha ya sayari kwa sababu ya kukosa sifa
 
Mwaka 2006 nilikua darasa la sita, jimboni kwa huyo Akukweti, wananchi walifurahia sana kifo chake,
Hii sijawahi kuisikia kama kuna waziri alidondoka na ndege. Nakumbuka ya Filikunjombe .

Natamani mtu aweke hiki kisa cha Akukweti inaonekana aliwasgia sana kunguni wafanyabiashara ndogo ndogo, wakamlilia Mungu akapita naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…