Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Unakuta kijana alie kua la NNE 2006 Anambishia mzee wetu Mohamed Said2006 nilikuwa la nne
😀😅😀humu jukwaani wakubwa zangu ni wachacheSalimia kaka zako kijana 😁😊
Vijana ni wengi sana humu, wazee tunazudi kupukutika. Kijiti changu nitamwachia ama Monetary doctor au adriz.Unakuta kijana alie kua la NNE 2006 Anambishia mzee wetu Mohamed Said
Mzee kiranga, mzee pascal mayala, mzee Dr am 4 real, secretarybird
Wazee wapo wengi wengi humu.
Half American , wewe ni mdogo kwangu sana sanaa ila sikuzai
Sikupingi mkuu, mimi n mkubwa ila n mdogo kwa wengi humu.Unakuta kijana alie kua la NNE 2006 Anambishia mzee wetu Mohamed Said
Mzee kiranga, mzee pascal mayala, mzee Dr am 4 real, secretarybird
Wazee wapo wengi wengi humu.
Half American , wewe ni mdogo kwangu sana sanaa ila sikuzai
Uzee na ustaarabu ni ndugu, ukiwa mzee alafu hauna ustaarabu n hasara.Hahaha........Mimi ni wale Wazee wastaarabu
Hata wakati wa kuvuta Kiko zetu, tunajificha ili kutowalevya wasiotumia 🤗
Happy New Year 🥂
😊😊Uzee na ustaarabu ni ndugu, ukiwa mzee alafu hauna ustaarabu n hasara.
Happy new year babu mzee wa kiko sijui ulienda kujificha wapi ni muda mrefu sijakuona jukwaani, karibu tena.
😁😆 HaaahaaVijana ni wengi sana humu, wazee tunazudi kupukutika. Kijiti changu nitamwachia ama Monetary doctor au adriz.
Kumbe bado toto, ndio maana unanuka maziwa.2006 nilikuwa la nne
Umesema sahihi Mkuu, unajua kwa umri wetu huu tusipokuwa wastaarabu ni kujitafutia kupigwa na VijanaUzee na ustaarabu ni ndugu, ukiwa mzee alafu hauna ustaarabu n hasara.
Happy new year babu mzee wa kiko sijui ulienda kujificha wapi ni muda mrefu sijakuona jukwaani, karibu tena.
2006 nilikuwa la nne
Miaka inakimbia sana
Na jinsi vijana ni hovyo kupiga sio shida yaoUmesema sahihi Mkuu, unajua kwa umri wetu huu tusipokuwa wastaarabu ni kujitafutia kupigwa na Vijana
Manake vijana wenyewe hawa watumiaji wa cha Malawi na Arusha, Ngumi Mkononi 🤪
Kwa muda mrefu kiasi nilikuwa nimefichwa, mwezi December niliongeza mke wa 5 kwahiyo nilikuwa Honeymoon 🤪
Dogo nisikukamateKumbe bado toto, ndio maana unanuka maziwa.
Kulikuwa na msemo "Kunguru mwoga huepusha mbawa zake"Na jinsi vijana ni hovyo kupiga sio shida yao
Hongera na kila la heri kupata watoto watakaokuita babu mkuu.