Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Wanyonge watafanya nini? Wana chama? Kiongozi wao nani? Wana jeshi? Wana ujasiri wa kuandamana?
 
Kwa hiyo Magufuli naye aliuawa?
 
Umetumia mbinu gani (statistical method) kufikia hizo Laki 8
 
Hilo neno !!
 
Elites ndo wanaoongoza dunia..

Kauli yao inachukuliwa kwa uzito kuliko waporipori milioni mia.
 
Ni kweli vingine hakuweza kufanya sema mapenzi watu yamewazidi.

Lakini awa watu kuna meseji wanaifikisha uwe ulimchukia Magufuli kupitiliza au ulimpenda kupitiliza, kama una akili zimetulia huwezi puuza watu wana sababu ya kumuamini Magufuli.
Magufuli alijuwa Tanzania Ina illiterates wengi na akawafanya mtaji. Akazima vyombo huru vya habari na akabakia yeye tu ndiye sauti kupitia TBC na channel 10.
Propaganda zake tu za uwongo ndizo zilitawala kwa miaka 5, ndiyo maana wewe sinza pazuri unaona kama watu wanamkubali.

Tutaendelea kuwasomesha Polepole mpaka waelewe kuwa Magufuli was a mediocre leader but a ruthless dictator
 
Kwa namna alivyoshangilia JK aisee hakuna legacy ya Meko mtaisikia maishani sanasana Rais wa kuenziwa ni JKN pekee sio hii mliyotengeneza kwamba tumuache Ben, Nyerere eti tumuenzi Meko pekee, hapo ndipo mlipokosea na haitajirudia, take my words down the memory.
 
Maandamano yamepigwa marufuku, mikutano ya vyama marufuku pia.ukileta fyoko fyoko ni kipigo cha mbwa koko

Ndio mwendo tunaenda nao CCM, aliuanzisha huyo dhalimu mnaemlilia kila siku
Kwani nani kakwambia wataandamana?

Alafu mimi sio mshabiki wa hivyo vyama vyenu. Mimi nilikuwa natoa uhalisia naouona, so unaweza upuuza vile vile.
 
Kuna mtu ameelezea hapo vyema kabisa ni kakundi tu ka watu wachache wanaohesabika mitandaoni ndio wanamchukia Magu ila mtaani wanamuelewa sana na hawakumuelewa tu kwa kauli alizokuwa anatoa bali kwa kazi zinazoonekana kwa macho ya nyama.

Ni kakundi kadogo tu ndo kanaona alikuwa Dictator, nafikiri jambo la msingi hapa ni kujiuliza haka kakundi kadogo kwanini kalimuona ni dictator?
 
Kama alivyosema Joseph Stalin ! It's enough that the people know there was an election ! The people who cast the votes decide nothing ! The people who counts the votes decide everything !! Au siyo Mkuu ??!!
Elites ndo wanaoongoza dunia..

Kauli yao inachukuliwa kwa uzito kuliko waporipori milioni mia.
 
Tokea lini CCM inategemea kura yako, kama ungekuwa na uwezo wa kuamua si ungebadili katiba au hata kuandamana, SAMIA RAIS WA LEO NA KESHO, acha ubwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…