Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli


Neno lako lina ujumbe mzito sana. Naam, mlinzi wa Tanzania hajawahi kusinzia wala kulala
 
Ambae huyo"Magufuli" mwingine ndo Ni nani ndani ya CCM?
 
Mbona husemi ambavyo alitumia kura za kwenye vikapu na bahasha ambazo zimetikiwa tayari kwa mgombea wa CCM mwaka 2020 ndio kukubalika huko MATAGA?
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe una chuki binafsi. Magufuli sie watu wa ngazi ya chini tulimpenda sana. Mwacheni apumzike kwa amani
 
Kwa hiyo wananchi watapigia kivuli cha Magufuli kura?
CCM italeta mgombea mmoja SSH, na vyama vingine hivyo hivyo kwenye uchaguzi.

Juzi mikoa yote ya CCM imempa kura zote Kinana na itakuwa hivyo hivyo kwa mwenyekiti wake 2025.
Yusuf Makamba amesisitiza kazi za Kamati Kuu,NEC ndizo kamati za ufundi kumtafutia ushindi SSH.
Bado wapiga kura wengi ni wanawake.
 
Wewe una chuki binafsi. Magufuli sie watu wa ngazi ya chini tulimpenda sana. Mwacheni apumzike kwa amani
Hakuna mwenye akili timamu akampenda anaedhulumu haki za watu za kuishi,mkabila na mdini
 
Unamsema dikteta aliyetumia bunduki na risasi kuiuza ccm?
Alimchukiza hata Mungu na ikalazimika amuache afie kwenye zahanati.
 
Hajawahi kuwa na sufa yoyote nzuri zaidi ya kuwa mwizi mbabe na muongo kupata kutokea. Wenzie wakijaribu kusema ukweli kumhusu mashabiki wake itabidi mfe siku mbili na mfufuke siku ya tatu.
 
Majiraniii amkeni leo kwaoooo!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acha kuota mchana wewe tupa koti la kijani hilo then kamata bango udai "KATIBA MPYA"

Sijamsikia Elitwege sijui nanung'unikia wapi saizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe una chuki binafsi. Magufuli sie watu wa ngazi ya chini tulimpenda sana. Mwacheni apumzike kwa amani
Mfuateni kaburini nanyi mzikwe!! UJINGA wenu ulikuwa ndiyo mtaji wake
 
Ni kweli vingine hakuweza kufanya sema mapenzi watu yamewazidi.

Lakini awa watu kuna meseji wanaifikisha uwe ulimchukia Magufuli kupitiliza au ulimpenda kupitiliza, kama una akili zimetulia huwezi puuza watu wana sababu ya kumuamini Magufuli.
Hao wamepigwa upofu kama Magufuli na wenzake walivyomuamini babu wa Loliondo.
 
Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo
Umma gani unaolazimishwa kudanganywa?
 
Alikuwa wa ovyo sana.
Ndiye muasisi wa hata kesi ya kubumba ya Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…