Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Nikikupa kitalu uchimbe madini baada ya miaka kadhaa after host government agreement ujafanya kitu. Maana yake huna uwezo wa kuchimba na unaninyima income. That’s a breach uhitaji auditor kuona deprivation of ‘consideration’.
Kama ni rahisi hivi mbona tumeanguka kwenye kesi? Hivi mkuu ndio mlivyokua mnaishauri serikali kwenye yale mashauri ICSID? kwamba hajachimba madini kakamate mgodi yaani just like that!! Hakuna due process hakuna enquiry hakuna performance audit yaani unajiamulia tu?
 
Logical non sequitur fallacy plus unsubstantiated conjecture.
 
Hiyo wala haiondoshi ukweli kwamba lile shetani lenu la Chato lilituharibia sana nchi
Kweli kabisa yule ni shetani kwenu nyie majinga yenye vyeti feki aliyashugulikia sana hivyo vinyeo vyenu
 
Mbona ana kitabu kabisa tulifundishiwa nikiwa UDSM!! Kinaitwa Golden opportunity kinaongelea madhaifu ya kisheria na kiutendaji kuanzia mikataba, mapato hadi udhibiti yanayohitaji mabadiliko ili madini yawe na tija kwenye uchumi.
Mwamba kaamjulia lisu kwenye media na anafikiri anajua kuliko lisu kumbe kamzidi mbali sana
 
Kwahiyo Lissu ni tapeli wa kisiasa 😂😂😂😂 angalia usije shushiwa matusi mazito na makamanda
 
From start to end of narration calling people nonsense!Nonsense yourself
 
Kabla ya Magufuli kuwa rais ni lini aliwahi kukiri kuwa tunaibiwa? Maana Lisu tulimuona akasema hivyo hadharani. Au Magufuli alisubiri hadi awe rais ndio ajionyeshe mzalendo na kujua kuwa tunaibiwa?
Luhaga Mpina anaangalia ulichoandika hapa na kuwaza yaliyomkuta anatikisa kichwa kwa huzuni kubwa sana,
Ukate tawi ulilokalia?
 
Lissu ni mpinzani, hakuwa tumu ya machawa wala wapiga vigelegele, hoja zake alizoibua zilikuwa ni za uongo?

Vipi hoja nyingine alizoibua na kuhoji mfano hii ya makaa ya mawe wanamtandao wamemtuma?
Umetumwa kazi ya usnitch, umememaliza aliyekutuma anataka kukumaliza afute ushahidi unaponyoka, anapanga plan ya pili unaingia kwenye mtego lakini mara hii hataki kujichafua kwa kukuua anakupa Kesi feki ili akuulie gerezani.....
 
From start to end of narration calling people nonsense!Nonsense yourself
The word nonsense does appear even once on the post you quoted.

Accusing people of crime with proof, now that is nonsense.
 
Mbona ana kitabu kabisa tulifundishiwa nikiwa UDSM!! Kinaitwa Golden opportunity kinaongelea madhaifu ya kisheria na kiutendaji kuanzia mikataba, mapato hadi udhibiti yanayohitaji mabadiliko ili madini yawe na tija kwenye uchumi.
Hiko utaita kitabu cha ushauri wa mikataba kweli?

Au ni rumbling about nothing for the most part.

I know you know types of natural resources contracts kama vile PSA na Services contracts.

Sasa mikataba aipewi majina tu, ina structure ya kuandaa pia na elements. Core elements zikiwa technical and commercial aspects (which is mainly finance).

Ndio zinafuata hizo aspects za environment, social, local economic benefits and political.

Wapi kwenye hiko kitabu umeona Lissu kataja hata muundo wa mkataba hata mmoja.

Hayo mengine ya mahakamani lazima uelewe mikataba inafungwa na aina mbili za sheria terms implied in the contract and term implied by national law. Sasa kuvunja mkataba kwa sheria tu hilo halipo lazima itafutwe breach.

Kama ulisikiliza dispute yote ya Indian serikali ilisema hakukuwa na chochote kilichofanyika; but they were just bad lawyers overall they lacked knowledge on contract issues for the most part.

Ni hivi the only way utamuona Lissu mjuaji wa hayo mambo iwapo hujui haya maswala.

Otherwise Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba. Hayo maelezo ya kodi kuanza kuyaongelea story ni ndefu; lakini ule sio ushauri wa kitaalamu kwa maswala ya mikataba.
 
Umetumwa kazi ya usnitch, umememaliza aliyekutuma anataka kukumaliza afute ushahidi unaponyoka, anapanga plan ya pili unaingia kwenye mtego lakini mara hii hataki kujichafua kwa kukuua anakupa Kesi feki ili akuulie gerezani.....
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya vibaya.
 
Lakini umeshaambiwa kwamba walimtumia Lissu pasipo yeye kufahamu anatumika..
Jpm tayari alikuwa anamchukia Lissu, ingewezekana vipi akamtibu? ule msemo adui muombee njaa ndio hivyo..
Hapo mtoa hoja bado hoja yake ina nguvu
Yes
 
Walichonganishwa bila wao kujijua pata picha combination ya Magufuli na Lissu wangeamua kushughulikia mjizi ya nchi hii kungekalika? Lakini kuna kipindi akiwa Singinda Magu alisema anaomba wazee wa singida wa Mwambie Lissu hasingombee Urais atamtafutia kazi Magufuli alijua uwezo wa Lissu sema wanamtandao walikua tayari walishamuwini lissu kipindi kile alitakiwa akubali kiufupi mboye alimtumia Lissu kipindi cha Magu na kila mtu anajua mboye ni rafiki wa mzee ya Msoga. Magu na Lissu wamekua wote Bungeni kwa hiyo walikua wanafahamiana vizuri Mungu kachukua mmoja tumebakiza mmoja kazi kwenu wazee wa system
 
but they were just bad lawyers overall they lacked knowledge on contract issues for the most part.
Ooooh kumbe kina Professor Mruma na PhD zote hizo hawajui lolote maana ndio walikuwa mashahidi!! Vipi Professor Kabudi aliekua senior advisor wa legal teams naye hajui lolote??

Kubali tu kesi ilikua imetukalia vibaya hata tungetetewa na malaika tungefeli tu.
Hiko utaita kitabu cha ushauri wa mikataba kweli?
Ulisema aliongelea mazingira tu kwamba hajawahi ongelea chochote kuhusu mikataba!! anyhow hicho kitabu sio cha mazingira na ndio nilitaka tu kuku prove hapo. BTW mikataba ni SIRI na JPM mpaka leo hajawahi weka wazi mikataba yoyote ile so I don't expect lissu kuchambua clause by clause ya specific agreement or contract.
Kama ulisikiliza dispute yote ya Indian serikali ilisema hakukuwa na chochote kilichofanyika
Hapana walisema walikua "lenient'' ila walikir Retention licence was valid naomba uangalie clip niliyoweka hapo juu. Ila sababu sheria mpya ilikuja ikabidi tu waifute leseni ili ku comply na clauses mpya.
Otherwise Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba. Hayo maelezo ya kodi kuanza kuyaongelea story ni ndefu; lakini ule sio ushauri wa kitaalamu kwa maswala ya mikataba
Kama hajui lolote mbona tena unasema hao mawakili wa serikali ni bad!! Ahahahahaha hivi unadhani Lissu angeenda kuwatetea mngeaibika vile?

Give credit where due, the guy is smarter than ya'll.

Hopefully ulisoma pia hiki kipande page ya 9 ya kitabu. Cha ajabu JPM mliomuiya mzalendo naye hakuwahi weka wazi mikataba kinyume kabisa na TEITI Act inayotaka transparency ya mikataba bungeni (Naomba ujibu hili)

Parliament has never formally seen any of the contracts signedby the government with the mining companies; therecent contract for Barrick’s new Buzwagi mine hasbeen widely viewed in Tanzania but only since it wasleaked to the media
 
Mwamba kaamjulia lisu kwenye media na anafikiri anajua kuliko lisu kumbe kamzidi mbali sana
Huyo jamaa ni mpumbavu ana chuki na Lissu ukiona mtu anaandika sentensi mbili ana changanya lugha ujue ni mshamba na Limbukeni anaetaka kujifanya anajua kumbe hajui kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…