Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Kama sio mzalendo why haendi CCM ili akaibe, why abaki upinzani ambako hakuna pesa?
Lissu hela za ccm anakula vizuri tu we mjinga ndio hujui endelea kuhisi lissu ni mzalendo tanzania hii mzalendo ni magufuli tu ndio maana uliona lissu tu wengine waigizaji
 
Uliwai sikia wapi tundulisu anamuongea Mabaya kikwete kwenye jukwaa?
 
Lissu hela za ccm anakula vizuri tu we mjinga ndio hujui endelea kuhisi lissu ni mzalendo tanzania hii mzalendo ni magufuli tu ndio maana uliona lissu tu wengine waigizaji
Anazila wapi? Maana ruzuku imefutwa, mali za chama haziruhusiwi kutumika, fedha ya matibabu alinyimwa, stahiki zake za ubunge alinyimwa, enhee amekula kupitia nini hapo?

Kuna watu ni wajinga sana ukiwemo wewe na bila shaka utakua unaishi Mburahati!
 
We ndio mjinga ulitaka akutangazie kama anazila endelea kuwa jinga mpaka milele ukiamini lissu ni mpinzani wa ccm wakati lissu ni partner wa kikwete ndio maana wajanja wameshastuka wamekausha apambane na Hali yake sababu kipindi Cha mzalendo magufuli alikua anafungua Domo lake kupiga kelele kupinga maendeleo hivyo ccm hii na lissu wanajuana natamani siku lissu auwawe na hao hao mafisadi wenzie sababu ni mshenzi sana huyo jamaa
 
Acha utoto Lissu ameanza kumkosoa Nyerere, Mkapa sijui ulikua bado unakojolea pampas!!

Kamkosoa JK sana 2007-2015 tokea aandaae list ya mafisadi na kutaja washirika wote wa JK.

Kamkosoa JPM kwa kukandamiza upinzani na sasa anamkosoa Samia kwa Ufisadi wa kutisha.

Sijui ukilaza wako unakutuma kuwa alimkosoa Jpm tu? Empty set kabisa ndio maana nchi imewashinda na deni la taifa limevuka Trillion 100!!
 
Kwahiyo huyo kilema yeye ni kuishi Kwa kukosoa watu mwisho wake anakosoa wazalendo sio pumbavu zake mbwa huyo acha aozee jela yaani jitu linasimama linamkosoa mtu kama magufuli ambaye ameyatoa maisha yake Kwa ajili ya watanzania Leo hii limekaa jela tena limewekwa na hao hao wajinga waliokua wanamtumia pumbavu zake
 
Anaekula maisha ni abduli sio wewe fukara unaeangaika humu jamii forum kutetea Fisadi abduli we ukiwa umechoka na njaa huku ukiwa na mshati wako wa kijani mwenzio Kila siku anaingiza mabilioni
Mimi na wewe kamwe hatuwezi kumfikia Abduli. Mimi nafaidi mema kwa kadri ya nafasi yangu sio wewe kutwa kucha kunung'unika humu jf as if kuna msaada utapata humu. Sana wajiongezea stress tu uzeeke kabla ya muda wako. Kula maisha wewe lisahau kabisa lile shetani lenu kule Chato. Lilitaka kututia umasikini lkn Mungu Mwema kapita nalo kwa kulifedhehesha kabisa sasa lajiozea tu huko kuzima wajane wake mmebaki kuneng'eneka tu huku
 
Unafaidi mema Gani we ni fukara tu wewe njaa Kali anaefaidi ni abduli sio wewe fukara we ni kinyesi Fulani tu labda hizo baiskeli mnazopewa ndio mema kweli jitu jeusi kutoka kwenye umasikini ni kazi sana
 
Afadhali Lissu yupo jela ya duniani na siku si nyingi atakuwa uraiani. Lkn lile Shetani lenu kule Chato basi tena. Twajua hamtaki kuamini kwamba halirudi tena
 
Afadhali Lissu yupo jela ya duniani na siku si nyingi atakuwa uraiani. Lkn lile Shetani lenu kule Chato basi tena. Twajua hamtaki kuamini kwamba halirudi tena
Atoke uraiani wapi huyo analiwa na nyampala mpaka afie huko mbwa huyo sababu si mzalendo ni shoga kutoka ubeligiji habari zake tunazo hilo punga
 
Unafaidi mema Gani we ni fukara tu wewe njaa Kali anaefaidi ni abduli sio wewe fukara we ni kinyesi Fulani tu labda hizo baiskeli mnazopewa ndio mema kweli jitu jeusi kutoka kwenye umasikini ni kazi sana
Nasemaje, maisha yangu kwa sasa hata nikiwa tu hizo baiskeli za CCM bado nna furaha tele. Hata nikilala mtaroni still nna amani na furaha tele kuliko Lile shetani lingeendelea kuwepo duniani. Kuna wakati likitajwa tu naweweseka, nahisi litarudi tena kutuletea Mambo meusi
 
Atoke uraiani wapi huyo analiwa na nyampala mpaka afie huko mbwa huyo sababu si mzalendo ni shoga kutoka ubeligiji habari zake tunazo hilo punga
Lakini Magu huko anakula mkong'oto tu huku funda wanamla tu
 
Kweli kabisa ndio maana hata marinda hapo ulipo huna sababu ya kupenda mtelezo
 
Magufuli alipiga marufuku export ya makontena ya dhahabu, akaweka misururu ya kodi, na kuforce renegotiation. Lakini kisheria, hizi hatua zilitafsiriwa kimataifa kama regulatory interference kitu ambacho Lissu alikuwa akionya mapema.
Kwa hiyo hoja kwamba “Magufuli alipata win ni ya kisiasa, sio ya kisheria. Ndiyo maana cases nyingi bado zinaendelea hadi leo.
 
Kilema? Si bora yeye anachechemea ila akili ziko sawa kuliko wewe mlemavu wa akili!! Una kipi unachomzidi Lissu wewe? kapambane na umaskini wa familia yako but hautawahi fikia legacy ya Lissu kwenye chochote kile.

Embicile
 
Ila Magufuli hakuhusika na shambulio la Lissu .

Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Yaani shambulio wafanye wana mtandao kumchafua Magufuli halafu Magufuli (mchafuliwa) naye akabunda tu hakuna hata upelelezi, zaidi akaona haitoshi hata maombi kwa TAL yakazuiwa, bado haikutosha na Ndugai wake wakamvua ubunge na kumnyima stahiki zake!

Basi kwa mantiki hiyo unamaanisha Magufuli naye alitumika na wana mtandao kujichafua mwenyewe, hivyo unamvika taji la ujinga.

Haiwezekani hata kwa 1% kumtenganisha Magufuli na shambulio la Lissu, unless unaongea na mazezeta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…