Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Binafsi huwa najiuliza ni kwanini Lisu alikuwa akimpinga JPM kwa mambo mengi wakati hulka yake naya JPM ni kama zinaendana sana hasa kwenye maswala ya haki na rushwa.
Tatizo la Lissu ni kupenda sifa kupitiliza mpaka inakuwa ujivuni, kejeli na kudharau wengine.
Sometimes it becomes too much hubris. And for hubris alone he deserved what happened to him.
Anajisahau analewa sifa na kuvuka mipaka.
 
Like I told you, majibazano na wewe story huwa ndefu.

Don’t worry I’ll get back to you.
 
Binafsi huwa najiuliza ni kwanini Lisu alikuwa akimpinga JPM kwa mambo mengi wakati hulka yake naya JPM ni kama zinaendana sana hasa kwenye maswala ya haki na rushwa.
Ni lini Magufuli aliwahi kumuunga mkono Lisu katika jitihada zake za kupambania wananchi dhidi ya wezi wa madini? Au yeye Magufuli ndio alikuwa na haki ya kuungwa mkono tu?
 
Hii bidhaa yako imeoza hata kabla ya kuingia sokoni ni mpuuzi tu anayeweza kuinunua.
 
Wewe umejaza chuki tu Kwa TAL na jina lako bandia wakati kiakili na uwezo anakuzidi Kila kitu
 
Hadi sasa wanamtandao ambao lengo ni kumgeuka mwenyekiti ili wapate nafasi ya Rais wanamlipa Lissu pesa nzuri
 
Kwanini slow slow mda huu ndio anayasema hayo mwanzoni alikuwa wapi kuyasema
unauliza mwanzoni alikuwa wapi? Ilikuwa ni suala la muda tu ufike aseme, na ndio sasa anasema. Mambo ni mengi sirini, yatasemwa yote muda wake ukifika!
 
Kila tukijunguza tunaona anaomuomba documents Mwanyika, vita ya uchumi ngumu ndugu zangu ni zaidi ya vita ya kawaida ,walioko jeshini wanaelewa tunapokua vitani anatokea msaliti anafanywaje! He is not suppose to survive ilikua saa5 na baadae saa7/8 TAL akamiminiwa risasi tena walinzi wakiwa wameondolewa...Au hao walinzi walipata amri ya wanamtandao? Kwa hili hawa wahuni wa mtandao hawahusiki
Kataa wahuni Pole Pole Yuko kwenye njia sahihi
 
Kivipi wanamtandao walihusika na umafia? Watajwe tu ili ukweli ujulikane ni nani wanahusika kupanga mauaji, sio kukwepesha ukweli wakati hata mbulula wa chini ya mtu anaweza ku sense aliyepanga jaribio la kumua TAL ni nani. Muachage propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…