Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Lakini inasemekana watu wengine wanakuwaga ni Double Agents 😳 !
Huku anakuwepo unamuona kama mwenzio kumbe na kule yupo kikamilifu !!
Hii maneno ni ngumu mpaka Katiba mpya itakapo patikana !
Independent strong Institutions katika Nchi yeyote ile ni muhimu sana Bandugu. !
Sijui kama nimeeleweka 😳 !
 
CCM imeshikwa na OLIGARCHS (a very rich business leaders with a great deal of political influence) hawa ndyo wana control fraternity ya wanamtandao
Hawa wanaudhibiti wa mihimili yote mitatu, na viongozi wa hiyo mihimili wanawaheshimu na kuwaogopa kwa sababu wao ndyo king makers
 
Wanamtandao wakaondoa hadi camera za ulinzi, wakawapa off walinzi wote siku hiyo, wakazuia uchunguzi usifanyike mpaka sasa hivi hakuna aliekamatwa.
 
You can say that again 😳🙄 !
 
Unaokoteza habari zilizoandikwa humu ndo unakuja kuandika Uzi.

Ulikuwa wapi siku zote ?
 
Wanamtandao wakaondoa hadi camera za ulinzi, wakawapa off walinzi wote siku hiyo, wakazuia uchunguzi usifanyike mpaka sasa hivi hakuna aliekamatwa.
Wanamtandao ni lazima wawe na watu wao jikoni pia 😳 !
Usisahau hiyo kitu 🙄🤷🏿‍♂️
 
Makond ni mmoja wapo
 
Naomba niwe wa mwisho kukutukana mkuu
 
Lissu ni mpinzani, hakuwa tumu ya machawa wala wapiga vigelegele, hoja zake alizoibua zilikuwa ni za uongo?

Vipi hoja nyingine alizoibua na kuhoji mfano hii ya makaa ya mawe wanamtandao wamemtuma?
 
Afu mbona Jpm alitamka wazi kwamba mtu anaepiga maendeleo anatakiwa kuuwawa
Unafitinishwa na hao hao wasaidizi wako, wanakupa na solution kumbe wapo upande wa adui yako. Hii ni mbinu ya wakoloni duniani ndiyo sababu huwa tunauana wenyewe Kwa wenyewe.

Kisha wale watu wako wanakuletea kashfa zao na unawachukia na kujitenga nao kumbe wamekuwekea chatu kitandani kwako ulale naye🤣🤣🤣
 
Unafitinishwa na hao hao wasaidizi wako wanakupa na solution kumbe wapo upande wa adui yako. Hii ni mbinu ya wakoloni duniani ndiyo sababu huwa tinauana wenyewe Kwa wenyewe.
Ewaaah. !
Iko vile !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…