Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Afu mbona Jpm alitamka wazi kwamba mtu anaepiga maendeleo anatakiwa kuuwawa
Unafikiri wangeweza kumwadhibu bila kwanza kumfiitinisha? Waliwatumia wote wawili Kwa faida Yao bila wao kujijua kwamba wanachozungumza ni lugha Moja ila kati kati Yao yupo ibilisi mfitini
 
Lissu ni mropokaji and he was a nuisance kipindi cha serikali ya Magufuli inawafanyia fujo ACCACIA kuvunja mkataba.
Karopoka nini? Mbona kweli tumeangushwa kwenye mashauri yote kule ICSID na arbitration zingine!! Alisema tudeal na sheria kwanza sio kukamata tu mchanga huku dhahabu bado inasafirishwa unopposed.

Lissu was right and JPM was wrong in this and we are paying a huge price.
 
Dhalimu magu hasafishiki, na yeye ndio aliagiza Lisu auwawe fullstop. Hivyo tafuta dodoki lingine.
Hawa jamaa wajinga sana, yaani wanataka kutumia story ya polepole kuaminisha kwamba kila tatizo lilikua la Rostam/JK na JPM alikua msafi!!

Wanasahau JPM mwenyewe aliropoka kuwa ndugai awafukuze wapinzani bungeni ili waje kuropokea nje ya bunge "awanyooshe".
 
Hata hujui kutunga stori. Soma comment ya Jokakuu hapo juu. Huo ndio ukweli na si visitors vyenu uchwara.
 
Yaani lile shetani lenu la Chato halikuhusika na shambulizi la Lissu lkn alishirikiana na Ndugai kuzuia gharama za matibabu yake. Wakamnyima stahiki zake za ubunge na mwisho wa siku wakamtimua ubunge! Tafuteni namna nyingine ya kulisafisha hilo shetani lenu linaloungua motoni
 
Wanatuona kama nasi ni wajinga wenzao
 
Inshallah
 
Alichokosea Magufuli ni kutotaja kundi linalomhujumu,nalo likaendelea na shughuli zake,hata alipoletewa habari Lissu kapigwa risasi alihuzunika sana,maana hakujua na bahati mbaya hata mkuu wa kitengo hakuijua misheni ilitekelezwa na Moja ya vikundi ndani ya kitengo kilichokuwa kinapokea maelekezo kutoka kwa wanamtandao ndani na nje ya Serikali,naamini ndugu Polepole atalisema hili hadharani.
 
Halafu utashangaa anakaza fuvu kuwa sio Magu aliagiza Lisu ashambuliwe.
Ningekua magufuli watu dizaini ya lissu ningeua wengi sana sababu. Ni wajinga wanarudisha maendeleo ya nchi nyuma haya Sasa aliekua anampinga kafa yeye anaozea jela na hawezi kutoka mpaka afie humo
 
Ningekua magufuli watu dizaini ya lissu ningeua wengi sana sababu. Ni wajinga wanarudisha maendeleo ya nchi nyuma haya Sasa aliekua anampinga kafa yeye anaozea jela na hawezi kutoka mpaka afie humo
Ki vipi Lissu anarudisha maendeleo nyuma ?
 
Lissu hata angekufa ingekuwa poa tu.

Anabwabwaja sana kama domokongo.

Kwanza Lissu ana faida gani nchini?
 
Utetezi wa hovyo kabisa huu.
Yaani seriously unataka kutuaminisha kuwa hao wanamtandao waliizidi serikali ya Ngosha kiasi cha kuingia eneo lenye ulinzi mpk kuondosha camera za CCTV zote kweli!
Basi serikali ya Ngosha ilikuwa dhaifu sana.
Na kwa nini Magufuli alizuia gharama za matibabu ya Lissu mpk Samia ndo kaja kulipa?
Hao wanamtandao ndo walizuia Magu asimlipe Lissu stahiki zake!
Lile lilikuwa ni shetani halisi. Halisafishiki
 
Kwa majibu haya uzi ufungwe. Mleta mada anatuona watanzania kuwa ni wajinga
 
Nakutibu kwasababu gani na ulikua unaniuhujumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…