Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

Waombeeni adui zenu, na muwabariki wale wanaowauzi.
 
HAKIKA WATAKUFA DAMU YA LISSU ALIYOPEWA NA MUNGU HAKUNA MJINGA YOYOTE MWENYE MAMLAKA WA KUIMWAGA
 
Nilidhani Bashite naye tayari.
 
Naona umeumia sana, au na wewe ni mmojawapo ya ambao hawatafikisha 60's nini? Pole sana naona uneandika kwa uchungu sana
 
Wote walishakufa na kubwa lao lipo kule chato kabaki mmoja tu ambae ni MAKONDA nae muda si mrefu atakwenda kuzimu na atakwenda kutupwa kule Kolomije
 
Duh 🙄 ! Wengine watakufa kwa kihoro kabla ya siku zao !!
Hatari sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…