Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Adhabu gani inayowakumba wote wema kwa wabaya?Kifo si adhabu kwako
Kisheria kifo ni adhabu, yapo makosa ukifanya adhabu yake ni kifo.
Kiimani kifo ni adhabu
Endeleeni kujifariji
Nature kifo ni asili
Mkapa, Membe na Lowasa wanahusikaje kwenye andiko hili la kijinga?