Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

Kifo si adhabu kwako
Kisheria kifo ni adhabu, yapo makosa ukifanya adhabu yake ni kifo.
Kiimani kifo ni adhabu

Endeleeni kujifariji

Nature kifo ni asili
Adhabu gani inayowakumba wote wema kwa wabaya?

Mkapa, Membe na Lowasa wanahusikaje kwenye andiko hili la kijinga?
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Hebu tuletee ule Uzi tena tujikumbushe
 
Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Jipe moyo.....Ukiua automatically wewe umelaaniwa na Uzao wako wote.
 
Nilikuwa nakufuatilia sana. Nikafikiri kuwa ww ni muumini wa dhehebu la kisabato.Na nimewafuatilia sana wasabato huwa hawana Imani za kuombea visasi. Nashangaa ww unaombea visasi kwa, watu wengine. Nimeshituka sana na nimeshangaa. Lakin amin nakwambia, maamuz yote ni ya, mwenyez mungu wa mbinguni. Hakuna binadamu atakayemtabiria kifo mwenzake. Nakuomba ufute kauli zako. Sio nzuri hata, kwa, Lissu na ww, mwenyewe.
Hakuna anayetoa visasi bali Ukiua moja kwa moja Mungu amekulipa kisasi cha laana. Maana uliyemuua hana neno wala lolote juu yako tena. Bwana ana deal na wewe tu.
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Na wewe mtoa taarifa unafukiwa lini? 😡
 
Fact ni kwamba binadamu wote watakufa. Hii kusema kwamba ulitabiri si sawa.
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Nani alikufa Lisu akashuhudia kifo chake?
 
Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Ajabu mtu kudhania kufa ni laana huku akijua wazi na yeye atakufa
 
Niasubiria Makonda afe. Akifa huyo hata jamiiforums nitaacha kuitumia.
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Wewe ni mjinga na mpumbavu na Wajinga na wapumbavu wenzako ndio watakuunga mkono. Kwanini nasema hivyo? Waliomuua unawajua? Kwa vipi unawajua? Usitafute cheap popularity kujifanya unajua kumbe ni limbukeni wa mtandaoni tu sawa na wasanii wa Bongo Movies kujifanya matawi ya juu wakiwa wazima, wakiugua wanataka tuwachangie pesa ya matibabu! PUMBAVU!!!
 
Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Yote sawa. Lakini jiulize, kama kufa ni kufa tu na si adhabu, yule jamaa kwanini alikuwa akiagiza wanaompinga na kumkosoa wauwawe? Alishasema “msaliti” hawezi kuachwa a-survive tu!

Jiulize inakuwaje kwenye mfumo wetu wa sheria kuna hukumu ya kifo kama adhabu na katika vitabu vya dini kuna mifano kadhaa ya adhabu ya kifo. Kifupi, ukitangulizwa kufa kwa mkono wa mtu au “karma” ni adhabu tosha.

Halafu, katika dunia ya kimafia (watu wanaopenda kumaliza matatizo kwa kuua) kanuni yao muhimu ni kuwa anayeshuhudia kifo na mazishi ya adui au hasimu zake ndiye mshindi.

Hapa basi, unaongelewa ushindi wa Lissu dhidi ya mahasimu wake waliopanga kumuua wakashindwa - hata kama naye baadaye atakufa kama ilivyo Ada. Lakini sasa hivi yuko hai akishuhudia misiba yao.
 
Nani ataishi milele hata akiwa mwema?

Hakuna wema wanakufa na umri mdogo?

Mto mada utaishi milele?

Kila ukilala na kuamka usisahau kuomba kifo chema hata kabla ya mali.
 
Sijui kama umejibu swali lililoulizwa. Kauliza: kwanini wewe hutakufa?😳

Jieleze.

Nani ataishi milele hata akiwa mwema?

Hakuna wema wanakufa na umri mdogo?

Mto mada utaishi milele?

Kila ukilala na kuamka usisahau kuomba kifo chema hata kabla ya mali.

Wema Hawafi
Sijui kama unajua jambo hilo
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Sasa hao watu wakifa ndo mambo Lissu anapigania yatabadilika?
 
Back
Top Bottom