Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Ni makamongo tu ndiyo wanaweza kuandika upuuzi kama huu. Pole sana kwa KUTOJITAMBUA. Siku ukitia akili kichwani urudi hapa kuja KUTUBU kwa upuuzi uliouandika.

 
Kama Mungu akijalia ninapanga mwaka 2020 nita....... Hakuna mwenye uhakika na jambo lolote lililo ktk "wish list" yake ktk siku za mbele yake. Ni lazima tuwe na akiba ya maneno. Mola ndiye mwenye kujua yaliyopo mbele yetu, kwani binadamu yeyote aliyezaliwa na mwanamke chochote kile kinaweza kutokea na kubatilisha matamanio yeke.
 
Ni makamongo tu ndiyo wanaweza kuandika upuuzi kama huu. Pole sana kwa KUTOJITAMBUA. Siku ukitia akili kichwani urudi hapa kuja KUTUBU kwa upuuzi uliouandika.
Unataka tuwe na mawazo sawa kama yako mkuu?
Kwa nini mwingine akienda kinyume na kile ukiwazacho/kitakacho wewe kiwe kosa,
Aya niambie kutokujitambua kwangu kukoje? Niambie pia kosa gani nimefanya la kufanya nije kutubu?
Pia niambie ni Upuuzi gani nilioundika mpaka wewe umeona ni upuuzi?

Kama hakuna jibu la msingi Basi 2020 nitaenda na JPM jemedari, Jiwe Chuma tena steal kabisa, Chuki yako ni kazi bureeeeee.


JPM 2020
 
Namba haziongopi na siku zote namba husema ukweli kama unajua namna ya kuzisoma na kuzitafakari kwa kina.

Hivi viwanda 4,000 tangu huyo dhalimu aingie madarakani anavyodai amevijenga amejenga mikoa ipi!? Hebu tuwekee mchakato wa kila mkoa nchini uliobahatika kujengewa kiwanda/viwanda

Ujinga ni MZIGO MKUBWA SANA.

 
Kuna mafisi ya kijani mengi tu pale Lumumba, nenda ukaungane nao kuchagua ukatili, roho mbaya, uuaji na ushetani!
 
Nnda naye peke yako.
 
Kwenda naye wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…