Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

kura ni siri ya mtu,,hata mtu akitamka hapa haina maana ni kweli,kwenye kile kishubaka uko peke yako na moyo wako,suala la kujiuliza kama maslahi yako yameelemea wapi,maana sisi wabongo tunaangaliaga Tumbo kwanza mengine baadae
 
Jibu maswali niliyokuuliza kwanza achana na hizo namba unazosemea? Usikwepe.
 
Kila mwenye kuisoma hii amekuelewa pamoja nae
 
Upo pekee yako tu
 
Kwanza karibu sana jf
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli halisi bila kujalisha ni mchungu kiasi gani.
P
Mayalla hii ingekuwa sawa endapo mazingira ya kuchaguana yangelikuwa sawa. Sasa mazingira ya uchaguzi kama wa kinondoni, Handeni, Iramba mashariki etc. Huko tuliona returning officers wakiwakimbia wagombea wa upinzani wasiwasilishe makaratasi. Na hata walipowasilisha eti wote 10 hawajui kuandika ?!.

Tulisikia DED wakiagizwa nakupa gari, mshahara, ulinzi, posho halafu nionee mtu anamtangaza mpinzani !! Sasa huo ni uchaguzi gani ?!. Yeye ameshajiandalia kubaki hapo . Tumeshuhudia rafiki yake PK akipata 100% acha hiyo 99.9%
 
Kanyaga twende... tuko pamoja sana. Tutampigia kampeni na tutampeleka tena Ikulu. Sioni mwingine...
 
Kanyaga twende... tuko pamoja sana. Tutampigia kampeni na tutampeleka tena Ikulu. Sioni mwingine...
 
UTAKUWA NA SHETANI KAMA KAWAIDA,NA MUENDE KUZIMU KABISA.
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli halisi bila kujalisha ni mchungu kiasi gani.
P

Ukweli kutokana na ubongo wako binafsi!

Unapochukua ukweli wako binafsi kutokana na akili yako binafsi ilivyochambua na kujifanya eti ni universal truth to everyone

Inaonesha ulivyo clueless na ndio maana Ilboru ulipita pita kienyeji na tokeo lako lilikua duni!

There is a reason ulifeli ndio maana ukasoma elimu ya uzeeni!

Huo ndio ukweli maana nina tokeo lako duni to back it up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…