Pre GE2025 Mwaka 2025 baada ya Mama Samia kushinda uchaguzi, unapendekeza nani awe Waziri wa Sheria?

Pre GE2025 Mwaka 2025 baada ya Mama Samia kushinda uchaguzi, unapendekeza nani awe Waziri wa Sheria?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kati ya manguli hawa wawili wa sheria, unapendekeza Samia amuweke nani pale Wizara ya Sheria?
 
20240805_161103.jpg
 
Toka sera ya kupiga kura ianzishwe hakuna siku CCM ilishinda uchaguzi kihalali.
 
Mambo mengine yanaonekana kama mchana wakati wa mchana
Pia ya mchana yanaonekanaga usiku na ya usiku yanaonekanaga mchana ...

Upe muda nafasi utaongeaa zaidi...
 
Mngejua mnavyonichosha na hizi hoja za uchaguzi, ilihali kuna changamoto nyingi za kitaifa za kutafutia utatuzi! Basi tu!
 
Toka sera ya kupiga kura ianzishwe hakuna siku CCM ilishinda uchaguzi kihalali.
 
Ni aibu kumfananisha mtaalamu mbobezi Prof.Kabudi na kanjanja Lissu kwenye Sheria na katiba
 
Back
Top Bottom