itamkumbukaje kwaniKipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.
Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kuchukiwa na wananchi wake walio wengi.
Mie hata huwa sihangaiki nao, mtu anayetetea mauaji utajadiliana naye nini.Wakuu naona lipo ingizo jipya la machawa jf kutoka ccm, yapigwe ignore mapema sana.
Tanzania massacre by Samia.Secondary kwenye somo la history tulifundishwa kuhusu sharpville massacre,leo hii nasisi Tanzania tuna yetu. Hopefully mauaji ya October 29-30 yataingizwa kwenye syllabus dunia nzima.
Mdude Nyangari, Humphrey polepole, Mawazo wa Geita, Magufur, Jk Nyerere,SokoineKipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.
Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.
Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.
Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.
Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
MauajiKipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.
Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.
Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
Ule ujinga uliokuwa ukifanyika wa kuchoma moto vituo vya mafuta na kuunguza magari ya watu kabla ya risasi kuanza kurindima hauwezi kuongelewa.Secondary kwenye somo la history tulifundishwa kuhusu sharpville massacre,leo hii nasisi Tanzania tuna yetu. Hopefully mauaji ya October 29-30 yataingizwa kwenye syllabus dunia nzima.
ICC ndio EU hao mabwana zao kina Heche na Lissu hawana jipya lolote.
Ni mengi ya kumkumbuka Rais Samia, nitataja machache, 10 tu kwa umuhimu wa mpangilio wake (1-10):Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi
Kaka ulichokiandika kinahitaji kuanzishiwa uzi unaojitegemea. Watoto wengi wanaodai katiba mpya na haki wanapaswa kusoma hiki ulichokiandika kwa kina.Ni mengi ya kumkumbuka Rais Samia, nitataja machache, 10 tu kwa umuhimu wa mpangilio wake (1-10):
- Ni Rais wa kwanza aliyediriki hadharani mbele ya wazee-Dar na taifa lote, kukanusha umiliki wa HATI MILIKI ya nchi hii TZ waliyojitunukia/kuipora TEC kwa miaka mingi na kuirudisha kwa WANANCHI WOTE wa makundi yote. Asante sana Mama.
- Ni Rais wa kwanza TZ kupokea kijiti toka kwa mtangulizi wake kikatiba baada ya mtangulizi huyo kufariki.
- Ni Rais aliyeweza kudumisha na kuendeleza amani katika kipindi kigumu cha tukio la kihistoria la kuondokewa na Amir jeshi mkuu. Moshi mwingi ulikuwa ukifukuta, lakini kwa kutumia akili nyingi, busara, elimu, uzoefu akaweza kuiunganisha nchi na utulivu ukapatikana na kutuvusha salama. Ni jambo kubwa sana!
- Ni Rais wa kwanza aliyetoa tafsiri ya KIBIASHARA, TZ kama nchi isiyofungamana na nchi yeyote katika mwaka 2025 na kuendelea kwa kufungua milango ya kibiashara kwa dunia nzima hususan MASHARIKI YA KATI. Hapa Ma-rais wengi walishindwa, kila wakigusa, waliodhani wana hati miliki na wafuasi wao walipiga kelele sana wakitumwa na wa-magharibi na washiriki wao. Asante mama kwa kutuonyesha njia, milango imefunguliwa.
- Kaleta amani baada ya jaribio kubwa la 29/10 - 03/11 la kuipundua nchi ya TZ. Lingefanikiwa tungekuwa na Sudan ya pili Afrika. Si hao waliosababisha tu, wala wengine wasiohusika wangekuwa salama. Asante mama.
- Ni Rais wa kwanza aliyeongeza Pato kubwa la kodi la Taifa, iliyopata kwa miaka mitatu mfululizo. Ni rekodi ambayo hakuna Rais toka Nyerere mpaka Magufuli walioweza kufikia kiwango hicho.
- Ni Rais aliyeongeza tija katika kilimo kwa kuweka ruzuku katika pembejeo na kutafuta masoko ya mazao ya wakulima. Hii ndio tafsiri halisi ya kumsaidia MNYONGE.
- Ni Rais wa kwanza aliyetuzawadia miundo mbinu ya kimkakati ambayo haikuwepo TZ kama SGR, bwawa la Nyerere(umeme), vijiji vyote kufikiwa na umeme, n.k. Umeme na usafirishaji ndio viashiria namba 1 vya maendeleo ya nchi.
- Ni Rais wa kwanza mwenye dhamira ya kweli ya kutuletea aka.. mwali- KATIBA MPYA.
- Ni Rais wa kwanza aliyetuletea Dira ya maendeleo ya TZ ya miaka 50 nzuri na itayoitoa TZ katika umasikini. Hapa wengi hawajaisoma; pateni muda mkaisome ndio mtatambua umuhimu wa Rais Samia na jinsi anavyohitaji kuikomboa Tanzania. .....NB: kwa wale wanaouliza swali: Kuna anayefahamu, Rais Samia anatupeleka wapi? Isomeni Dira hii, mtapata majibu.