Mwaka 2025 wakulima wa zao la Parachichi hawana soko - Njombe

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
7,973
Reaction score
13,647
Nauliza tu!

Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?

Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana!

Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
 
N parachichi unguja linsuzwa elfu 2 moja
 
Nauliza tu!

Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?

Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana!

Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
Wewe Kwa nini usiwasaidie wakulima? Waziri awasaidiaje?
 
Parachichi moja wastani 400 - 500.

Wakulima wa parachichi ni Vyema wajifunza kujiongeza
 
Ajabu ni kwamba hata njombe kuna mda parachichi 1 ni sh500.
Mimi nawaza kuwa seriksli ingefanya uhamasishaji mkubwa wa kula tunda la parachichi ili liuzwe hapa hapa nchini. Parachichi inavirutubisho vingi ila watanzania wanaokula ni kama robo ya watanzania wote. Mbona maembe machungwa yanaliwa hapa hapa bila kutegemea wageni ? Kasumba ya kulisha wazungu kabla ya kujilisha wenyewe ni ya kijinga. Mtoto wa kizungu anakuwa na afya bora wa kiswahili amedumaa, hii sio sawa.
 
Hii ni point,,Hapa da viparachich vidogovidogo vinauzwa sh 800 hadi 1000 kwa kamoja..wakati wananchi anatamani kula parachicj kila siku anashindwa
 
Mkuu kuna mahala tunafeli. Sh 2000 kwa kilo ni parachichi tano tena kubwa. Sasa ikisafirishwa singida bei ya kuisafirisha haitazidi mia. Ukimuuzia mtanzania wa singida kwa 700 anaweza kumudu na parachichi moja wanaweza kula watu 2 mpaka 3 bila kukamia.
Watanzania wengi wanauziwa reject.
Watanzania hatufikiri juu ya Afya ya watoto wetu, wanazidi kudumaa miaka na miaka.
 
Ajabu ni kwamba hata njombe kuna mda parachichi 1 ni sh500.
Mimi nawaza kuwa seriksli ingefanya uhamasishaji mkubwa wa kula tunda la parachichi ili liuzwe hapa hapa nchini. Parachichi inavirutubisho vingi ila watanzania wanaokula ni kama robo ya watanzania wote. Mbona maembe machungwa yanaliwa hapa hapa bila kutegemea wageni ? Kasumba ya kulisha wazungu kabla ya kujilisha wenyewe ni ya kijinga. Mtoto wa kizungu anakuwa na afya bora wa kiswahili amedumaa, hii sio sawa.
Pengine watu hawayapendi? Kuna njia nyingine ya kuweza kuyatumia. Kuanzisha kiwanda cha mafuta. Mafuta yake ni mazuri sana.
 
Ingawaje inahitaji kulijua soko lako kwanza na mambo mengine ya kibiashara,naamini hili ni wazo bora sana.

Serikali ingesisitiza viwanda vidogo vya usindikaji kama sido, tungepata faida mara nyingi zaidi kuliko kuyauza raw na kwa bei za kupangiwa.

Parachichi,machungwa, maembe na mengine meengi tungeweza yaongezea thamani hapa hapa kulenga soko lengwa, naamini tunaweza.

Serikali hizi ndio fursa za kutoa ajira kwa watu, changamkieni.
 
Ajabu ni kwamba hata njombe kuna mda parachichi 1 ni sh500.
Mimi nawaza kuwa seriksli ingefanya uhamasishaji mkubwa wa kula tunda la parachichi ili liuzwe hapa hapa nchini. Parachichi inavirutubisho vingi ila watanzania wanaokula ni kama robo ya watanzania wote. Mbona maembe machungwa yanaliwa hapa hapa bila kutegemea wageni ? Kasumba ya kulisha wazungu kabla ya kujilisha wenyewe ni ya kijinga. Mtoto wa kizungu anakuwa na afya bora wa kiswahili amedumaa, hii sio sawa.
Unazungumzia situation ya mteja wa mwisho, wewe mteja Utachagua parachichi moja kwenye parachichi 100.

Linapokuja suala la B2B parachichi ni very risk business, unaweza filisika mapema sana, unaweza pack mzigo ukakuta nusu nzima haufai, hasa kama unauza Nje ambapo standard ni kubwa.

Unless kuna Advanced packaging kabla ya kusafirisha parachichi bado itakua biashara ngumu.
 
Back
Top Bottom