Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Nauliza tu!
Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?
Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana!
Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?