Hajasema ulaya itachukuwa watu kutoka africa, amesema itaalika.
Kiujumla nchi nyingi zilizoendelea zinaruhusu uhamiaji lakini zimeanza kuweka vigezo vigumu ili kudhibiti wahamiaji wasiwe wengi.
Kwahiyo kadri miaka inavyozidi kwenda, kuhamia kutazidi kuwa kugumu, nasikia siku hizi ni ngumu kuhamia kama sio skilled(huna degree, huna taaluma) na visa za matajiri kama golden visa zimeanza kubanwa.