Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Kuelekea mwisho wa mwaka ni kitu gani ambacho unajivunia kwa mwaka huu wa 2023
Na je malengo uliyojiwekea yametimia kwa asilima ngapi na kama hajatimia ni kitu gani unatamani kurekebisha kuelekea mwaka mpya 2024?
 
Binafsi nimejifunza mambo yafuatayo.
1. Mungu hatabiriki nkimaanisha ukimwomba Mungu hatumii njia Moja nkimaanisha same pattern kujibu maombi yako Kila mtu Mungu hua anamjibu Kwa njia tofaut you can't predict atakujibu Kwa namna flani.

2. Huwezi kushindana na Maisha, Kuna mambo unafanya hayaendi Kuna vitu ulitamani upate hujapata ukapata tofauti na matarajio that's life ndo imeamua kukupa hayo inabidi urelax ukubaliane na hali otherwise utajikuta unapata depression frustrations.

3. Binadamu wote tuko sawa hakuna binadamu aliyemzidi binadamu mwenzake hakuna binadamu aliyejaaliwa vyote huyu kajaaliwa hiki huyu hajajaaliwa kajaaliwa kingine tofauti na mwenzake...hivyo hakuna binadamu Bora kuliko mwingine we are all equal
 
Back
Top Bottom